Keki ya Maulid iliyofanyika DMV siku ya Jumapili Feb 16, 2014 katika viwanja vya Park ya Wheaton, Maryland nchini Marekani na kuhudhuriwa na Watanzania wa DMV wakiwemo marafiki zao.
Kama kawaida maulid iliaanza kwa sala ya Magharib Watanzania DMV wa dini ya Kislam wakijumuika pamoja kuadhimisha siku ya Maulid Mubarak iliyofanyika Jumapili Feb 16, 2014 katika viwanja vya park vilivyopo Wheaton, Maryland.
Watanzania wa DMV wakijumuika pamoja kwenye Maulid iliyofanyika Wheaton, Maryland siku ya Jumapili Feb 16, 2014.
Wakina mama wakifuatilia kisomo cha Maulid.
Wakina baba wakifuatilia kisomo.
Rais wa Jumuiya ya Watanzania akiongea machache na kutoa salam za Maulid kwa Waislam wote.
Shamis mmoja wa viongozi wa TAMCO akielezea utaratibu na matangazo mengine
No comments:
Post a Comment