Staa wa filamu za Kibongo, Elizabeth Michael 'Lulu' pamoja na Mahsein
Awadh 'Dk. Cheni' wakipitia Gazeti la Ijumaa Wikienda ndani ya Mahakama
Kuu Kanda ya Dar es Salaam wakati wakisubiri kusikiliza kesi
inayomkabili Lulu juu ya kifo cha msanii Steven Kanumba.
Elizabeth
Michael 'Lulu' (katikati) akiwa na mama yake mzazi, Lucresia Karugila
(wa pili kushoto) na Dk. Cheni (kulia) ndani ya Mahakama Kuu Kanda ya
Dar es Salaam leo.
Na Waandishi wetu
KESI inayomkabili staa wa sinema za Kibongo Elizabeth Michael ‘Lulu’ dhidi ya msanii mwenzake marehemu Steven Kanumba imeunguruma leo katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam huku mtuhumiwa akikiri baadhi ya mashtaka.

Kesi hiyo imeahirishwa hadi hapo watakapojulishwa na mahakama tarehe ya kusomwa kwa shitaka lake la kuua bila kukusudia.
CHANZO GPL
No comments:
Post a Comment