Kushoto
ni Meneja wa Mradi wa Mwanamakuka ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kikundi
cha Umoja wa Wanawake Marafi (Unit of Women Friends).Bi Maryam Shamo
akifafanua jambo mbele ya Wanahabari (hawapo pichani) pamoja na Washindi
wa tuzo ya Mwanamakuka 2012/2013,kuhusiana na hafla yao wanayoitarajia
kuifanya siku ya Wanawake Duniani mnamo Machi,15 mwaka huu,ambayo
imepangwa kufanyika ndani ya kiota kipya cha maraha na burudani,Escape
One mikocheni jijini Dar,huku kauli mbiu yao wakiitanguliza kwa jila la
Family Day.Pichani kulia ni Mdau mkubwa wa tuzo ya
Mwanamakuka,Mkurugenzi wa Benki ya Wanawake Tanzania,Bi.Margareth
Chacha.
Mjumbe
wa Mradi wa Mwanamakuka (Mwanamakuka Awards) na Mkurugenzi Mtendaji wa
Benki ya Wanawake Tanzania,Bi. Margareth Chacha akisisitiza jambo mbele
ya washindi wa Mwanamakuka mwaka 2012 na 2013 alipokuwa akiongelea siku
ya wanawake Duniani tarehe 15 mwezi ujao mbele ya waandishi wa habari
jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Kushoto ni Meneja wa Mradi wa
Mwanamakuka ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kituo cha Wanawake Marafiki
(Unit of Women Friends),Bi Maryam Shamo.
Pichani ni washindi wa Mwanamakuka mwaka 2012 na 2013 walipokuwa wamkeusanyika pamoja wakiongelea siku ya wanawake Duniani inayotarajiwa kufanyika mnamo machi 13 mwaka huu,sambamba na waandishi wa habari,mikocheni jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Pichani ni washindi wa Mwanamakuka mwaka 2012 na 2013 walipokuwa wamkeusanyika pamoja wakiongelea siku ya wanawake Duniani inayotarajiwa kufanyika mnamo machi 13 mwaka huu,sambamba na waandishi wa habari,mikocheni jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Aidha katika siku hiyo adhimu kwa Wanawake,Umoja wa Wanawake Marafi (Unit of Women Friends),wataandaa hafla itakayowakutanisha na wadau wao mbalimbali,ambapo kaulimbiu yao itajulikana kama Family Day Kushoto ni Meneja wa Mradi wa Mwanamakuka ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kituo cha Wanawake Marafiki (Unit of Women Friends),Bi Maryam Shamo.
No comments:
Post a Comment