Bondia
Sukkasem Kietyongyuth kutoka Thailand kulia akitunishiana misuli na
Fransic Miyeyusho baada ya kupima uzito leo kwa ajili ya mpambano wao wa
jumamosi ya leo April 19 katika ukumbi wa PTA Sabasaba Dar es salaam
Bondia
Sukkasem Kietyongyuth kutoka Thailand kulia akitunishiana misuli kwa
mkono na Fransic Miyeyusho baada ya kupima uzito leo kwa ajili ya
mpambano wao wa jumamosi ya April 19 katika ukumbi wa PTA Sabasaba Dar
es salaam
Bondia
Sukkasem Kietyongyuth kutoka Thailand kulia wakipeana salamu ya heshima
na Fransic Miyeyusho baada ya kupima uzito leo kwa ajili ya mpambano
wao wa jumamosi ya April 19 katika ukumbi wa PTA Sabasaba Dar es salaam
Bondia
Ibrahimu Class 'King Class Mawe' akipima uzito kwa ajili ya mpambano
wake na Mustafa Doto utakaofanyika katika ukumbi wa PTA Sabasaba jijini
Dar es salaam
Bondia
Mustafa Dotto kushoto akitunishiana misuli na Ibrahimu Class 'KIng
class Mawe' kabla ya kuzipiga katika ukumbi wa PTA Sabasaba April
19 siku ya jumamosi
Bondia
Mustafa Dotto kushoto akitunishiana misuli na Ibrahimu Class 'KIng
class Mawe' kabla ya kuzipiga katika ukumbi wa PTA Sabasaba April
19 siku ya jumamosi
Bondia
Mfaume Hamad kushoto akitunishiana misuli na Godfrey Sadiki kabla ya
kuzipiga katika ukumbi wa PTA Sabasaba April 19 siku ya jumamosi
BONDIA IBRAHIMU CLASS 'KING CLASS MAWE' KUSHOTO ALIESIMAMA AKISHUDIA MPINZANI WAKE AKIPIMA AFYA |
PROMOTA WA MPAMBANO MUSSA KOVA AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI KUHUSU MPAMBANO HUO
BONDIA FRANSIC MIYEYUSHO AKIZUNGUMZA
MIYEYUSHO AKIPIMA UZITO
MIYEYUSHO
No comments:
Post a Comment