Taswira
mbalimbali za makamuzi ya mwanamuziki nguli kutoka nchini Uganda, Jose
Chameleone ndani ya Klabu Maisha iliyopo mjini Dodoma usiku wa kuamkia
leo.
Chameleone akiwapagawisha mashabiki wake mjini Dodoma usiku wa kuamkia leo.
Msanii Y-Tony naye alikuwepo kutoa burudani kwa mashabiki ndani ya Maisha Club, Dodoma.
Mashabiki wakipagawa na shoo ya Chameleone.
(Picha na Pamoja Blog)
No comments:
Post a Comment