Wanasema Rihanna angeshindwa kufanya vizuri kwenye muziki angefanya
vizuri kama mwanamitindo, wengine huthubutu kusema anafaa amiliki jarida
lake la mitindo sababu anapendezea kazi hio.
Jipya kwenye mitandao sasa ni kuhusu Rihanna kukava jarida la W na
wanamitindo wakubwa watatu ambao ni Kate Moss,Naomi Campbell na
mwanamitindo mwanaume Iman.
Ndani ya W Magazine anaweka pozi kali kama mwanamitindo mwenye muda
mreu kwenye kazi hii akiwakabili wanamitindo watatu wenye zaidi ya miaka
50 kwa pamoja kwenye kazi hii. #histoRIH.
No comments:
Post a Comment