WATU wenye ulemavu wa ngozi ‘albino’ na taasisi mbalimbali nchini zenye kutetea walemavu zimelaani vikali kuendelea kwa matukio ya mauaji kwa walemavu hao.
Vyama na taasisi hizo wamefanya kikao jana na wanahabari katika ukumbi wa Habari Maelezo jijini Dar es Salaam na kuzungumzia mambo kadhaa yanayowahusu wao.
Na Gabriel Ng’osha/GPL
No comments:
Post a Comment