Naibu Waziri wa Afya Zanzibar Mahmoud Thabit Kombo akizungumza na
waandishi wa habari katika Ukumbi wa Wizara hiyo Mnazimmoja kuhusu uzinduzi wa
chanjo ya kuzuia Surua na Rubella kwa watoto utakaofanyika kesho Oktoba 18 katika
kijiji cha Uroa Mkoa Kusini Unguja.
Baadhi ya Waandishi wa Habari waliohudhuria mkutano wa Naibu Waziri wa Afya
uliozungumiza uzinduzi wa chanjo ya kuzuia Surua na Rubella itakayoanza kesho
kijiji cha Uroa.
Mratibu wa chanjo Zanzibar Yussuf Haji Makame akitoa ufafanuzi kwa waandishi
wa habari namna chanjo hiyo itakavyoendeshwa nchi nzima kwa muda wa wiki moja
kuanzia kesho. (Picha na
Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar).
No comments:
Post a Comment