Shilole na wacheza shoo wake wakifanya yao. Wacheza shoo wa Shilole wakionesha ufundi wao mara baada ya video ya 'Namchukua' kuzinduliwa rasmi.
Yamoto Band ikiwa stejini.
Shilole akiwa na Kajala katika pozi.
Jana (Ijumaa) msanii wa muziki na maigizo Bongo, Zuwena Mohammed
’Shilole’ amezindua video ya ya wimbo wake wa ‘Namchukua’ ndani ya
viwanja vya Ufukwe wa Coco Beach, ambapo watu mbalimbali walihudhuria
wakiwemo mastaa.Yamoto Band ikiwa stejini.
Shilole akiwa na Kajala katika pozi.
(Picha/Shani Ramadhani, Mayasa Mariwata na Denis Mtima)
No comments:
Post a Comment