Mwanadada mwenye umbo tata Bongo, Lulu Semagongo ‘Aunt Lulu’.
Chanzo cha habari ambacho ni jirani na msanii huyo kimeeleza kuwa,
Aunt Lulu alichezea kipigo hicho hivi karibuni akiwa nyumbani kwao Mbezi
Salasala jijini Dar baada ya bwana wake kukuta sms tata kwenye simu
yake.“Mimi nilisikia mtu akipigwa huku simu ikitajwa, Aunt Lulu kapigwa sana kwa kweli,” kilidai chanzo hicho.
Baada ya kuinasa ishu hiyo, mwandishi wetu alimtafuta msanii huyo na alipoulizwa juu ya kipigo hicho, alikiri kugombana na mpenzi wake huyo lakini akasema, hawezi kuzungumzia kwa undani kwani ni tukio lililopita.
No comments:
Post a Comment