Mapema wiki hii, kupitia mtandao wa
Instagram, Kajala alitupia picha tofautitofauti wakiwa sehemu moja na
Izzo kiasi cha kuzua mashaka ndipo mwandishi wetu alipoingia mzigoni na
kumuuliza Kajala kulikoni? Huyu hapa msikie:
“Kuna project tunataka kufanya ndiyo maana unaona nimekuwa naye karibu kwa muda mrefu na mapichapicha ya selfie tukapiga, hakuna zaidi ya kazi ya filamu ninayotaka kufanya naye.”
No comments:
Post a Comment