Akizungumzia penzi la wawili hao ambao siku
chache zilizopita wameripotiwa kumwagana alisema, hali hiyo ni ya mpito
tu haimaanishi kuwa hiyo ndiyo tamati ya mapenzi yao, sababu nyota zao
zinategemeana japo ya Wema ina nguvu kubwa kuibeba ya Diamond.
“Msifikiri kwamba penzi lao ndiyo limefika mwisho, hakuna kitu kama hicho ni mara ngapi wameachana na kurudiana hata hili la sasa natabiri watarudiana,” alisema Malim.
No comments:
Post a Comment