IMEVUJA! Mtangazaji wa Redio One na ITV, Farhia Middle, amewahi kuzitwanga laivu akiwa hewani.
Farhia alifungukia ishu hiyo alipoulizwa na mwanahabari wetu kwamba ni tukio gani lililomtokea kazini ambalo hatalisahau ndipo alipoweka bayana kuwa tukio hilo lilitokea mwaka 2011 wakati alipokuwa anaitumikia Redio ORS ya Simanjiro, Manyara baada ya mtangazaji mwenzake kumzushia maneno ya umbea.
No comments:
Post a Comment