Imelda Mtema
STAA anayejitambua ndani ya gemu la filamu Bongo, Jennifer Kyaka ‘Odama’ amefungua kinywa chake kuwa watu wanaosubiri amnadi baba watoto wake watakuwa wamechelewa sana kwani hana mpango huo kwa sasa.
Staa anayejitambua ndani ya gemu la filamu Bongo, Jennifer Kyaka ‘Odama’.
Akichonga na Amani Odama alisema, kila kitu katika maisha kina
mpangilio wake hivyo wakati utakapofika atamtambulisha baba wa mtoto
wake kwa kuwa yupo hivyo watu wapunguze haraka na wala yeye siyo msiri
kama wanavyomjadili.“ Mimi nafikiri kila mwanadamu ana taratibu zake za maisha hivyo kuhusu kumuweka wazi baba mtoto wangu si jambo baya wakati ukifika nitamuweka hadharani,” alisema Odama
No comments:
Post a Comment