Polisi wakiwa eneo la tukio.
...Wakiweka uzio kwenye eneo hilo lilipotokea shambulio.
Mmoja wa waumini wa kanisa Methodist akiwa na simanzi.
WATU tisa wameuawa jana usiku katika shambulio lililotokea kwenye
Kanisa la Methodist eneo la Charleston nchini Marekani. Polisi
wanawasaka watuhumiwa wa shambulio hilo lililotokea kwenye Jimbo la
Carolina Kusini.
No comments:
Post a Comment