Hii ni orodha kamili ya washindi wa tuzo za muziki Tanzania Kilimanjaro Music Awards 2015 zilizofanyika 13 June 2015 Mlinani City jijini Dar es salaam.
#FahamuKTMA2015 Tuzo ya Mtumbuizaji Bora wa Muziki wa Kiume wa Mwaka ameshinda>Ali Kiba.
#FahamuKTMA2015 Tuzo ya Mwimbaji bora wa kike Bongo Fleva ameshinda> Vanessa Mdee aka V Money
#FahamuKTMA2015 Tuzo ya Msanii Bora wa Kiume Taarab ameshinda >Mzee Yusuph
#FahamuKTMA2015 Tuzo ya Mwimbaji Bora wa Kike Taarab ameshinda> Isha Mashauzi.
#FahamuKTMA2015 Tuzo ya Mwimbaji Bora wa Kiume Kutoka Bendi ameshinda >Jose Mara
#FahamuKTMA2015 Tuzo ya Wimbo Bora wa Mwaka wa Muziki wa Taarab imeshinda >Mapenzi Hayana Dhamana Yake Isha Mashauzi
#FahamuKTMA2015 Tuzo ya Wimbo Bora wa Mwaka imeshinda ‘Mwana‘ Ya Ali Kiba
#FahamuKTMA2015 Tuzo ya Wimbo Bora wa Kiswahili Kutoka Bendi imeshinda >’ Walewale ‘ ya FM Academia
#FahamuKTMA2015 Tuzo ya Wimbo Bora wa Muziki wa R&B imeshinda single ya Jux >‘Sisikii’
#FahamuKTMA2015 Tuzo ya Wimbo Bora wa Hip Hop imeshinda single ya Profesa Jay> Kipi Sijasikia Ft Diamond @diamondplatnumz
#FahamuKTMA2015 Tuzo ya Wimbo Bora wa Reggae&Dance Hall ameshinda > Maua Sama
#FahamuKTMA2015 Tuzo ya Rapa Bora wa Mwaka Muziki wa Bendi ameshinda> Ferguson
#FahamuKTMA2015 Tuzo ya Msanii Bora wa Hip Hop Ameshinda >Joh Makini
#FahamuKTMA2015 Tuzo ya Wimbo Bora wa Afrika Mashariki wameshinda Kenya >Sauti Sol Kupitia wimbo wao wa Sura Yako
#FahamuKTMA2015 Tuzo ya Mtunzi Bora wa Mwaka Taarab ameshinda >Mzee Yusuph
go
#FahamuKTMA2015 Tuzo ya Mtunzi Bora wa Mwaka Muziki wa Bongo Fleva ameshinda> Ali Kiba.
#FahamuKTMA2015 Tuzo ya Mtunzi Bora wa Mwaka muziki wa Bendi ameshinda > Jose Mara
#FahamuKTMA2015 Tuzo ya Msanii Bora Chipukizi ameshinda >Baraka Da Prince
#FahamuKTMA2015 Tuzo ya Mtunzi Bora wa Mwaka Hip Hop imeshindwa na >Joh Makini
#FahamuKTMA2015 Tuzo ya Bendi Bora ya Mwaka wameshinda> FM Academia
#FahamuKTMA2015 Tuzo ya Mtayarishaji Bora wa Nyimbo wa Mwaka Muziki wa Bongo Fleva ameshinda > Nahreel
#FahamuKTMA2015 Tuzo ya Mtayarishaji Bora wa Nyimbo wa Mwaka Taarab ameshinda> Enrico
#FahamuKTMA2015 Tuzo ya Mtayarishaji Bora wa Nyimbo wa Mwaka Bendi ameshinda> Amoroso
#FahamuKTMA2015 Tuzo ya Wimbo Bora Wenye Vionjo vya Asili ya Kitanzania ameshinda> Mrisho Mpoto
#FahamuKTMA2015 Kikundi Bora cha Mwaka Muziki wa Taarab wameshinda >Jahazi Modern Taarab
#FahamuKTMA2015 Kikundi Bora cha Mwaka Muziki Wa Bongo Fleva Wameshinda >Yamoto Band
No comments:
Post a Comment