Mufti Issa Bin Shaaban Simba enzi za uhai wake.
Mufti Issa Bin Shaaban Simba akiwa na Rais Kikwete.
KIONGOZI Mkuu wa Waislamu nchini
Tanzania, Mufti Issa Bin Shaaban Simba amefariki dunia leo asubuhi akiwa
Hospitali ya TMJ jijini Dar es Salaam alipokuwa amelazwa.Marehemu alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa kisukari pamoja na shinikizo la damu.
Taarifa zaidi kuhusu msiba huu zitawajia hivi punde.
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi. AMEN
No comments:
Post a Comment