Wema Sepetu akiwa na mama yake mzazi mkoani Singida.
STAA wa filamu nchini ambaye pia ni Miss
Tanzania 2006, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ ametangaza nia ya kuwania
nafasi ya Ubunge wa Viti Maalum kupitia CCM mkoani Singida.Wema tayari ametua mkoani Singida akiambatana na mama yake kwa ajili ya zoezi hilo ambapo amepokelewa kwa shangwe na mashabiki wake.
No comments:
Post a Comment