Bado siamini Kama mwaka wa pili unakatika bila kukuona wala kukusikia baba…!Ninaamini bdo tupo wote kiroho na Ninaamini zaidi nafsi yako huko ilipo inasimama kunitetea na kunipigania,inaweza kunichukua miaka na miaka kukuelezea….u still liv in me daddy and your dearly missed….R.I.P daddy angu
Monday, April 7, 2014
KUMBUKUMBU YA KANUMBA: LULU ASEMA ‘U STILL LIVE IN ME DADDY’
Bado siamini Kama mwaka wa pili unakatika bila kukuona wala kukusikia baba…!Ninaamini bdo tupo wote kiroho na Ninaamini zaidi nafsi yako huko ilipo inasimama kunitetea na kunipigania,inaweza kunichukua miaka na miaka kukuelezea….u still liv in me daddy and your dearly missed….R.I.P daddy angu
Sunday, April 6, 2014
NJOO TUFANYE BIASHARA..
BMW, Mwaka 2004 iko kwenye hali nzuri imetembea 8000 miles,iko Uingereza, kusafirishiwa hadi Zanzibar ni £800,hadi Dar es Salaam ni £1000.Bei ya gari ni £5000..Call/Text or Whatsapp +447758158421..
BIASHARA....
Volkswagen Polo, Mwaka 2003, 1.4 Engine, iko Uingereza, kusafirisha hadi Zanzibar ni £800 hadi Dar es salaam ni £1000, Bei ya gari ni £3000.Call/Text/Whatsapp +447758158421.
Saturday, April 5, 2014
LINA: SIJAWAHI KUSAGANA
MWANDAFADA anayekimbiza ndani ya Bongo Fleva, Estelina Sanga ‘Linah’
amesema anakiri kuwa usagaji upo kwa mastaa lakini yeye hajawahi
kushiriki.
Linah alifunguka hilo alipokuwa akifanya mahojiani na paparazi wetu hivi karibuni akasema:
“Usagaji
upo tena kwa mastaa wengi lakini kwa upande wangu mimi sijawahi kufanya
hicho kitu na wala sitegemei kujihusisha nayo.”
Linah alifunguka hilo alipokuwa akifanya mahojiani na paparazi wetu hivi karibuni akasema:
WAKAZI WA MWANZA WAJITOKEZA KATIKA SHINDANO LA KUSAKA VIPAJI VYA KUIGIZA
Jukwaa la majaji likiwa
tayari kwa shindano la kusaka vipaji vya kuigiza Tanzania lijulikanalo
kama Tanzania Movie Talents ambalo linaanza leo mkoani Mwanza katika
Kanda ya Ziwa.
Mafundi mitambo wakiwa tayari kwa kazi.
Kundi la kwanza la vijana
waliojitokeza katika usaili wa shindano hilo wakiwa kwenye foleni
tayari kwa zoezi la kuonyesha vipaji.
IBADA YA KUUOMBEA MWILI WA ALIYEKUWA ASKOFU WA KANISA LA ANGLICAN DAYOYSISI YA KATI GODFREY MHOGOLO
Jeneza likiwa na mwili wa aliyekuwa Askofu wa kanisa la Anglican
Dayosisi ya Dodoma Godfrey Mdimi Mhogolo aliyefariki wiki iliyopita
nchini Afrika ya Kusini alikopelekwa kwa matibabu likiwa ndani ya kanisa
kuu la Roho Mtakatifu wakati wa ibada maarumu.
Waumini na viongozi wa kanisa la Anglican Dayosisi ya kati wakilishusha
Jeneza lilibeba mwili wa aliyekuwa askofu wa kanisa hilo Godfrey Mhogolo
ulipofikishwa kwa mara ya kwanza tokea alipofariki nchini Afrika ya Kusini kanisani hapo kwa ajili ya kufanyiwa ibada ya maombezi.
PANONE FC WAFANYIWA SHEREHE BAADA YA KUTWAA UBINGWA WA MKOA WA KILIMANJARO
| Wachezaji wa timu ya Panone fc wakisalimia mara baada ya kutambulishwa wakati wa hafla ya kuwapongeza baada ya kufanikiwa kutwaa ubingwa wa mkoa. |
| Katibu wa chama cha soka mkoa wa Kilimanjaro Mohamed Musa akizungumza jambo wakati wa hafla ya kuwapongeza wachezaji wa timu ya Panone fc mara baada ya kutwaa ubingwa wa mkoa wa Kilimanjaro. |
MROKI AIAHIDI DAU NONO: TSN BOYS KUKABILI MWANANCHI MEDIA KOMBE LA NSSF KESHO
Kikosi cha TSN Boys.
TIMU ya soka ya Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN) inashuka
dimba la Sigara, Chang’ombe, Dar es Salaam kuikabili Mwananchi katika
Kombe la NSSF kwa Vyombo vya Habari 2014.
Mechi hiyo itakayochezwa saa 2 asubuhi, itakuwa muhimu kwa timu
zote mbili kwani mshindi atasonga mbele katika hatua ya robo fainali
zitakazoanza Jumatatu ijayo.
TSN imetinga hatua hiyo baada ya kupewa ushindi kutokana na
wapinzani wao, Mlimani Media kuwatumia wachezaji ambao hawakuwa halali.
Mlimani Media ilikuwa imeshinda kwa mabao 9-0.
Mwananchi ni mechi yake ya kwanza. Mbali ya mechi hiyo, mechi
nyingine kesho ni kati ya Tumaini dhidi ya Sahara Media, wakati upande
wa netiboli, itakuwa ni mechi za robo fainali kati ya Business Times
dhidi ya Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), wenyeji NSSF dhidi ya
Tumaini Media.
UJUMBE MUHIMU WA JOHN MNYIKA KWA WANACHALINZE
KWA WANANCHI WA CHALINZE: SIKU YA KUFUNGA KAMPENI NA KUPIGA KURA
Leo Jumamosi 05 Aprili 2014 ni siku ya mwisho ya kampeni za uchaguzi mdogo wa Jimbo la Chalinze na kesho Jumapili 06 Aprili 2014 ni siku ya wananchi kupiga kura.
Leo Jumamosi 05 Aprili 2014 ni siku ya mwisho ya kampeni za uchaguzi mdogo wa Jimbo la Chalinze na kesho Jumapili 06 Aprili 2014 ni siku ya wananchi kupiga kura.
Kwa wananchi wa Jimbo la Chalinze wa kata mbalimbali mnaoweza kupata
ujumbe kwa njia ya mtandao nawajulisha kwamba nitazungumza nanyi katika
mkutano wa hadhara leo.
Kampeni za Chalinze zilizinduliwa na Katibu Mkuu Dr. Wilbroad Slaa na
zitafungwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Said Issa Mohamed (ZNZ)
akiwa na Dr. Slaa.
Kwa wapenda demokrasia na maendeleo popote mlipo ziungeni mkono timu
za viongozi, wanachama na wapenzi kwenye kata na vijiji mbalimbali.
Wasiokuwa na mtandao naamini timu zetu za kampeni ya chini kwa chini na zenye magari ya matangazo kwa pamoja zitakuwa zimeshawaalika kwa kuzingatia ratiba ya kampeni. Tutahutubia kufunga kampeni kupitia mkutano utakaofanyika eneo la Chalinze Mjini (Sokoni) kuanzia saa 8 mchana mpaka 12 jioni, nitakuwepo pamoja na viongozi wengine wa kitaifa.
Wasiokuwa na mtandao naamini timu zetu za kampeni ya chini kwa chini na zenye magari ya matangazo kwa pamoja zitakuwa zimeshawaalika kwa kuzingatia ratiba ya kampeni. Tutahutubia kufunga kampeni kupitia mkutano utakaofanyika eneo la Chalinze Mjini (Sokoni) kuanzia saa 8 mchana mpaka 12 jioni, nitakuwepo pamoja na viongozi wengine wa kitaifa.
LULU: KUHOGWA NOMA SANA
ELIZABETH Michael ‘Lulu’ amewaasa wasichana wenzake
kujitahidi kujishugulisha na kazi mbalimbali kuingiza ‘chapaa’ na
wasiendekeze kuhongwa fedha na mapedeshee kwani ni aibu.
Akistorisha na paparazi wetu pasipo kuweka wazi kama alishawahi kuhongwa au la, Lulu alitiririka:
“Jamani wasichana wote tuinuke tuachane na mambo ya kuhongwa fedha na matajiri kwani hizi zina mwisho wake, siku hizi mambo yote ni kujishughulisha.”
Akistorisha na paparazi wetu pasipo kuweka wazi kama alishawahi kuhongwa au la, Lulu alitiririka:
“Jamani wasichana wote tuinuke tuachane na mambo ya kuhongwa fedha na matajiri kwani hizi zina mwisho wake, siku hizi mambo yote ni kujishughulisha.”
ATAKAYEMUOA WASTARA ATAKUFA
NYOTA wa sinema za Bongo, Wastara Juma ameibuka na kusema kuwa, kuna
mwanaume asiyependa mafanikio yake kiasi kwamba alifurahia alipopata
ajali na kuvunjika mguu, mumewe Juma Kilowoko ‘Sajuki’ kufariki dunia na
akatangaza kwamba, mwanaume yeyote atakayemuoa atakufa kama Sajuki.
Katika mahojiano maalum na gazeti hili juzi, Bamaga - Mwenge, jijini
Dar es Salaam, Wastara alisema mwanaume huyo aliwahi kuwa na uhusiano
naye wa kimapenzi miakka ya nyuma, wakamwagana.
Wastara aliyasema hayo baada ya kupigwa swali kwamba, kuna madai kifo
cha mumewe, marehemu Sajuki kilikuwa na mkono wa mwanaume aliyewahi
kuwa mpenzi wake (jina tunalishikilia kwa sasa).
BUSU LA WEMA, KADINDA UTATA!
PICHA inayomuonesha mwigizaji Wema Sepetu na meneja wake, Martin Kadinda imezua utata kuwa huenda wawili hao wana zaidi ya umeneja.
Baada ya picha hiyo kutupiwa kwenye mtandao wa Instragram na watu kutilia mashaka busu hilo, paparazi wetu alimvutia waya Wema, alipopatikana alijibu:
“Martin ni meneja, baby wangu kila mmoja anamjua, ni Diamond.”
Friday, April 4, 2014
NAY KUMUOA SIWEMA KABLA YA KUJIFUNGUA
Stori: MAYASA MARIWATA
MWANAMUZIKI Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ amesema yupo kwenye mikakati ya kufunga pingu za maisha na mpenzi wake anayejulikana kwa jina la Siwema baada ya kumtundika mimba.
Akipiga stori na paparazi wetu hivi karibuni, Nay alisema anajivunia kukaribia kuitwa baba na kizuri ni kwamba msichana aliyempa mimba alikuwa na ndoto za kumuita mke wake hivyo ndoa itafungwa kabla ya mtoto kuzaliwa.
CHANZO NI GPL
Subscribe to:
Posts (Atom)
HABARI MBALIMBALI
‘Dk. Cheni’
‘Sharo Milionea
‘Thea’
African Women
AGNESS MASOGANGE
AK CLASSIC COSMETICS
ALI KIBA
Amanda Poshy
Ant
ANT LULU
Ashley Toto
Aunt Ezekiel
Aunty Ezekiel
AUNTY LULU
Azam Fc
Baby Madaha
BAHATI BUKUKU
Barnaba
BATULI
BBA
Beauty of the day
Belle 9
BI KIDUDE
BIBI BOMBA
Big Brother
Big Brother Africa
Bill Gates
BINTI KIZIWI
BOB JUNIOR
Bodi ya Filamu
Bongo Movie
Bongo Movies
CCM
CHADEMA
Chombezo
Christina Shusho
Chuchu hans.
Clouds Media Group
Club Bilicanas
DAR LIVE
DAVINA
Dayna Nyange
Diamond
Dida
Diva Loveness Love
Dj Ommy Crazy wa Maisha Club
DOGO JANJA
DOKI
DR.CHENI
DSTV
Dude
Dully Sykes
EBSS 2013
Elizabeth Michael
Epiq Bongo Star Search (EBSS)
ESHA BUHETI
Ester Bulaya
Feza Kessy
FIESTA 2014
Flaviana Matata
FLORA MBASHA
FLORA MVUNGI
Francis Cheka
GARDNER
GLOAL PUBLISHERS
GLOBAL TV ONLINE
H. BABA
Halima Mdee
HAMISA
Happy birthday
Hemedi
Hemedy Suleiman
HOTUBA YA RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE
Hoyce Temu
Huddah Monroe
HUSINA
IRENE PAUL
Irene Uyoya
ISABELLA
J film 4 life
Jack Chuz
JACK PATRICK
Jacob Steven ‘JB’
Jacqueline Dustan
JACQUELINE WOLPER
Jaji Khamis 'Kashi'
Jay Dee
JENNIFER KYAKA (ODAMA)
JIDE
JINI KABULA
JK
JO
Johari
Jokate Mwigelo ‘Kidot’.
JOTI
Joyce Kiria
Joyce Kiwia
JUX
K-LYNN
KADINDA
kaja
Kajala Masanja
Kapotive Star Singers
KATUNI
Kemmy
Kero Zetu
KHADIJA OMAR KOPA
KIKWETUKWETU
KILI MUSIC AWARDS
KOLETA
Lady Jay Dee
Lady Jaydee
Lake Oil
LAVEDA
Linah Sanga
Linex
Lisa Jensen
Loveness Diva
Lucy Francis Komba
Lulu
M2 The P
MABILIONEA
Madam Rita
MADELA
Magazeti
Mahusiano
Maimartha Jesse
MAINDA
MAISHA
Makala
Malkia Elizabeth
MAMTEI
MANDELA
MARIAM ISMAIL
Masanja Mkandamizaji
Mashindano ya Miss Tanzania
Matangazo
Matonya
MaxMalipo
MAYA
MELLIS EDWARD
MENINAH
MGOSI MKOLONI
Mh Halima Mdee
mic
Michezo
MILLEN HAPPINESS MAGESE
MISS CHANG'OMBE
MISS DAR CITY CENTER
Miss East Africa
MISS REDD'S IRINGA 2013
MISS TANGA 2013.
MISS TANZANIA 2014
Miss Tanzania mwaka 2011
MISS TEMEKE 2014
MISS USTAWI
MISS UTALII TANZANIA 2012/13
Miss vyuo vikuu 2013
MKALA
MREMBO HUDDAH
Mrisho Mpoto
Mrisho Ngassa
MSHINDI WA REDD'S MISS LAKE ZONE 2013 NI LUCY CHARLES.
MSHINDI WA TAJI LA REDDS MISS KANDA YA KATI 2013
Mtitu
muziki
Mwana FA
MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14
Mzee Majuto
Nancy Sumari
Nani Mtani Jembe?
NAPE
Nassoro ‘Nora’
Natasha
Nay wa Mitego
Necta
Nelly Kamwelu
NEY WA MITEGO
Nisha
NSSF;Zantel
Nyamwela
NYimbo
Nyota yako
OBAMA TANZANIA
OMMY DIMPOZ
P FUNK
PAM D
Peniel Mgilwa ‘Penny’
PETIT MAN
Profesa Jay
Q - CHILA
Q Boy
Q Chilla
QUEEN DARLEEN
RACHEL NDAUKA
RAIS KIKWETE
Rais Kikwete.
Rasimu Ya Katiba TZ
Ray
Ray C
Redd’s Miss IFM
REDD'S MISS KAGERA 2013
REDD'S MISS TZ
REDDS MISS TANZANIA 2014
Redds Miss wa Mikoa
REHEMA FABIAN
RICHIE RICHIE
Rihanna
ROSE MUHANDO
Rose Ndauka
Ruge Mutahaba.
SABASABA 2013
Saida Karoli
Saikolojia
Sajeti
SAJUKI
Sandra
SHAA
Shamsa Ford
Sheikh Ponda
Shilole
Sintah
Siwema
Skin Tricks
Snura Mushi
Spika Makinda
staa
Staa Wetu
Stella Mwangi
STYLE ZA NYWELE
Taifa Stars
Tamasha la matumaini
TAMASHA LA SERENGETI FIESTA 2013
Tangazo
TANZANIA
TEGO
TENGENEZA WEBSITE NA BLOG
TID
Tundaman
Tupo wangapi?
TUZO ZA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14
Twanga Pepeta
USA PAGEANT 2014
VAI
Wastara
WEMA
WEMA SEPETU
Yanga
Yanga Bingwa 2013
YOUNG D
Yvonne Cherry ‘Monalisa’
Z Anton.
Zari
Zito kabwe

