EFM RADIO

EFM RADIO

HERICONY

Tangaza hapa

Tangaza hapa

TANGAZA NA BLOG YAKO HAPA

TANGAZA NA BLOG YAKO HAPA

Wednesday, February 26, 2014

HABARI FUPI

CHENGE NI MAJUTO; Katibu Mkuu wa Chadema Dk. Slaa, amesema Mbunge wa Bariadi Magharibi, Chenge hafai kuwa Mwenyekiti wa Bunge la Katiba.

Tuesday, February 25, 2014

Habari njema.....

MTU KATI NA BENNY KINYAIYA

GLOBAL TV ONLINE; MTU KATI NA YOUNG KILLER

HATIMAYE MTOTO MWENYE UVIMBE WA AJABU AKATWA MGUU NCHINI INDIA

 
Mtoto mwenye uvimbe wa ajabu, Hamis Liyuga akiwa anaandaliwa kupelekwa katika chumba cha upasuaji.
 
Hamis Liyuga akipelekwa katika chumba cha upasuaji.
...Akiwa ndani ya chumba cha upasuaji.

NI AIBU ILIOJE BUNGE LA KATIBA!

NIMSHUKURU sana Mwenyezi Mungu kwa mara nyingine kwa kutuwezesha kuwa pamoja tena leo, tukijadili mambo muhimu ya taifa letu, ambalo kwa sasa lipo katika mchakato wa kupitia Rasimu ya Katiba, ambao kama utakwenda vizuri, nchi yetu itakuwa na katiba mpya wakati wa Uchaguzi Mkuu ujao.

Zaidi ya Watanzania wenzetu 640 wapo katika majengo ya Bunge mjini Dodoma, wakiifanya kazi hiyo muhimu kabisa, ambayo inahitaji umakini wa hali ya juu na weledi wa kutosha, vinginevyo taifa linaweza kupata kitu ambacho kitakuwa ni hasara kwa kizazi hiki na kijacho, kwani tungetegemea suala hili angalau lilete utulivu na tofauti kwa miaka mingi ijayo.

Wajumbe hawa waliokusanyika Dodoma, ndiyo wanategemewa kutupatia katiba itakayokubaliwa na makundi yote ya wananchi, kufuatia karibu kila kada kuwa na wawakilishi wao katika bunge hili maalum la Katiba.

Tanzania kama taifa, lina changamoto nyingi sana zinazozuia maendeleo yake. Wengi wamekuwa wakisema kuwa kukwama kwetu kuendelea, kunachangiwa kwa kiasi kikubwa na matakwa ya kikatiba. Kwamba baadhi ya sheria, zinazotokana na Katiba, zinawazuia wananchi na nchi katika maeneo mengi.

Licha ya maendeleo, nchi yetu bado inahitaji amani na utulivu kwa kiwango kikubwa kuliko wakati mwingine wowote. Ni bunge hili la Katiba ndilo lenye wajibu wa kuangalia namna nzuri ya kuhakikisha maisha haya tuliyonayo, yanaboreshwa na ikiwa haina budi, kutungiwa sheria kali zaidi ilimradi tu watu waendelee kuishi bila kuogopa kitu ndani ya mipaka yao.

Saturday, February 22, 2014

PATA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2013

PATA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2013
KUONA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2013; INGIA HAPA:====>>http://bit.ly/1gptk9t

MB DOG,FAMILIA YAKE, KABAAH!


 
Staa wa Bongo Fleva, Mbwana Mohamed ‘Mb Dog’.
BAADA ya kupotea kwa muda, huku wengi wakishindwa kutambua anaishi wapi na nani, hatimaye picha za staa wa Bongo Fleva, Mbwana Mohamed ‘Mb Dog’ na familia yake zimenaswa!
Kutokana na desturi ya staa huyo kukaa ‘mbali’ na kamera husan katika masuala yahusuyo familia, paparazi wetu alimuotea nyumbani kwake Kawe, jijini Dar na kumtandika picha kadhaa kabla ya kumfanyia mahojiano.
Mbwana Mohamed ‘Mb Dog’ akiwa na familia yake.
Licha ya kuonekana kutopenda kuanika sana mambo yake ya kifamilia, Mb Dog aliyewahi kutamba na wimbo la Latifa, alifunguka kwa kifupi kuwa, aliyekuwa naye ni mkewe na amebahatika kuzaa naye watoto wawili.

CHUCHU, RAY WAMMWAGIA MINOTI CHOKY

WAPENDANAO, Chuchu Hans na Vincent Kigosi ‘Ray’ waligeuka mapedeshee kwa muda baada ya kummwagia fedha za kutosha, Mkuruguenzi wa Bendi ya Extra Bongo, Ally Choky.

Chuchu Hans na Vincent Kigosi ‘Ray’ katika pozi.
Tukio hilo lililoteka hisia za mashabiki wa bendi hiyo lilitokea juzikati katika Ukumbi wa Meeda, Dar ambapo Ray aliyekuwa ameambatana na ubavu wake huo, walionekana ukumbini humo wakipata vinywaji, baadaye muda ulivyozidi kwenda, wakanogewa na rhumba la Choky na kuanza kutunza. “Mh! Leo mtu na mtuwe wamegeuka mapedeshee, wanamwaga minoti ya kufa mtu, hata hazihesabiki…hatari,” alisikika shabiki mmoja aliyeshuhudia tukio hilo.

Friday, February 21, 2014

AJALI

Watu 11 wamepoteza maisha nchini Tunisia baada ya ndege ya jeshi la Libya kuanguka nchini humo ambayo ilikuwa imebeba madokta na wagonjwa leo asubuhi.

POSHO YA WABUNGE YAPINGWA

Wananchi wamepinga mpango wa wabunge wa Bunge la Katiba kutaka waongezewe posho kutoka Sh.300,000 wanazolipwa kwa siku.

HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA USIKU WA VALENTINE'S DAY NA SKYLIGHT BAND NDANI THAI VILLAGE

Lubea wa Skylight Band alitega mingo lango kuu la kuingilia na kugawa Shots za Tequila pamoja na Sambuka bure kwa wapenzi wa Skylight Band.
DSC_0419
Mashabiki wa Skylight Band wakipata shots za Tequila bure kwenye usiku maalum wa wapendanao uliofana Ijumaa iliyopita ndani ya kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar.
DSC_0435
Aneth Kushaba AK47 akiwapa raha mashabiki wa Skylight Band kwenye usiku wa wapendanao juma lililopita huku akisindikizwa na Mary Lucos, Sony Masamba na Sam Mapenzi.
DSC_0611
Wadadaz na Wakaka wakijimwaga na burudani ya Skylight Band.
DSC_0448
Walipendezaje...: Digna Mbepera akifanya yake jukwaani.
DSC_0491
MAJEMBE YA SKYLIGHT BAND....Sam Mapenzi a.k.a asali ya warembo katika hisia kali kwenye nyimbo za malavidavi huku akisindikizwa na Joniko Flower pamoja na Sony Masamba.
DSC_0628
Palikuwa hapatoshi....kama ulikosa juma lililopita basi burudani inaendelea leo pale pale Thai Village.

MSANII BONGO MUVI ANASA KWENYE MTEGO WA KUJIUZA

Stori: Waandishi Wetu
ILE skendo ya kukithiri kwa baadhi ya mastaa Bongo kujiuza imechukua sura mpya kufuatia msanii wa Bongo Movies, Isabella Francis ‘Vai wa Ukweli’ naye kunasa mtegoni, Ijumaa lina kisa kizima.
Vai wa Ukweli akiwa mawindoni.
Tukio hilo la aibu kwa tasnia ya sinema nchini lilijiri usiku wa kuamkia Jumanne iliyopita, Sinza ya Vatican jijini Dar es Salaam ambapo baada ya kuumbuka, Vai alijikuta akiangua kilio na kuomba siri hiyo isisambae.
VAI WA UKWELI NI NANI?
Vai ni msanii wa filamu za Kibongo kwa muda mrefu. Amecheza filamu kadhaa zikiwemo Beautiful Liar (ya kwake mwenyewe), Family Apart, Good Fellow na nyinginezo.
Vai wa Ukweli akificha uso wake baada ya kunaswa.
MALALAMIKO KWA OFM
Ikiwa katika kutega ‘rada’ zake, Oparesheni Fichua Maovu (OFM) ya Global Publishers ilipokea malalamiko ya listi ya wasanii wa kike wa Bongo Muvi wakidaiwa kujishughulisha na uuzaji wa miili huku jina la Vai likiwa miongoni mwao.

KURASA ZA MBELE NA NYUMA ZA MAGAZETI YA LEO 21/02/2014



HABARI MBALIMBALI

‘Dk. Cheni’ ‘Sharo Milionea ‘Thea’ African Women AGNESS MASOGANGE AK CLASSIC COSMETICS ALI KIBA Amanda Poshy Ant ANT LULU Ashley Toto Aunt Ezekiel Aunty Ezekiel AUNTY LULU Azam Fc Baby Madaha BAHATI BUKUKU Barnaba BATULI BBA Beauty of the day Belle 9 BI KIDUDE BIBI BOMBA Big Brother Big Brother Africa Bill Gates BINTI KIZIWI BOB JUNIOR Bodi ya Filamu Bongo Movie Bongo Movies CCM CHADEMA Chombezo Christina Shusho Chuchu hans. Clouds Media Group Club Bilicanas DAR LIVE DAVINA Dayna Nyange Diamond Dida Diva Loveness Love Dj Ommy Crazy wa Maisha Club DOGO JANJA DOKI DR.CHENI DSTV Dude Dully Sykes EBSS 2013 Elizabeth Michael Epiq Bongo Star Search (EBSS) ESHA BUHETI Ester Bulaya Feza Kessy FIESTA 2014 Flaviana Matata FLORA MBASHA FLORA MVUNGI Francis Cheka GARDNER GLOAL PUBLISHERS GLOBAL TV ONLINE H. BABA Halima Mdee HAMISA Happy birthday Hemedi Hemedy Suleiman HOTUBA YA RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE Hoyce Temu Huddah Monroe HUSINA IRENE PAUL Irene Uyoya ISABELLA J film 4 life Jack Chuz JACK PATRICK Jacob Steven ‘JB’ Jacqueline Dustan JACQUELINE WOLPER Jaji Khamis 'Kashi' Jay Dee JENNIFER KYAKA (ODAMA) JIDE JINI KABULA JK JO Johari Jokate Mwigelo ‘Kidot’. JOTI Joyce Kiria Joyce Kiwia JUX K-LYNN KADINDA kaja Kajala Masanja Kapotive Star Singers KATUNI Kemmy Kero Zetu KHADIJA OMAR KOPA KIKWETUKWETU KILI MUSIC AWARDS KOLETA Lady Jay Dee Lady Jaydee Lake Oil LAVEDA Linah Sanga Linex Lisa Jensen Loveness Diva Lucy Francis Komba Lulu M2 The P MABILIONEA Madam Rita MADELA Magazeti Mahusiano Maimartha Jesse MAINDA MAISHA Makala Malkia Elizabeth MAMTEI MANDELA MARIAM ISMAIL Masanja Mkandamizaji Mashindano ya Miss Tanzania Matangazo Matonya MaxMalipo MAYA MELLIS EDWARD MENINAH MGOSI MKOLONI Mh Halima Mdee mic Michezo MILLEN HAPPINESS MAGESE MISS CHANG'OMBE MISS DAR CITY CENTER Miss East Africa MISS REDD'S IRINGA 2013 MISS TANGA 2013. MISS TANZANIA 2014 Miss Tanzania mwaka 2011 MISS TEMEKE 2014 MISS USTAWI MISS UTALII TANZANIA 2012/13 Miss vyuo vikuu 2013 MKALA MREMBO HUDDAH Mrisho Mpoto Mrisho Ngassa MSHINDI WA REDD'S MISS LAKE ZONE 2013 NI LUCY CHARLES. MSHINDI WA TAJI LA REDDS MISS KANDA YA KATI 2013 Mtitu muziki Mwana FA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14 Mzee Majuto Nancy Sumari Nani Mtani Jembe? NAPE Nassoro ‘Nora’ Natasha Nay wa Mitego Necta Nelly Kamwelu NEY WA MITEGO Nisha NSSF;Zantel Nyamwela NYimbo Nyota yako OBAMA TANZANIA OMMY DIMPOZ P FUNK PAM D Peniel Mgilwa ‘Penny’ PETIT MAN Profesa Jay Q - CHILA Q Boy Q Chilla QUEEN DARLEEN RACHEL NDAUKA RAIS KIKWETE Rais Kikwete. Rasimu Ya Katiba TZ Ray Ray C Redd’s Miss IFM REDD'S MISS KAGERA 2013 REDD'S MISS TZ REDDS MISS TANZANIA 2014 Redds Miss wa Mikoa REHEMA FABIAN RICHIE RICHIE Rihanna ROSE MUHANDO Rose Ndauka Ruge Mutahaba. SABASABA 2013 Saida Karoli Saikolojia Sajeti SAJUKI Sandra SHAA Shamsa Ford Sheikh Ponda Shilole Sintah Siwema Skin Tricks Snura Mushi Spika Makinda staa Staa Wetu Stella Mwangi STYLE ZA NYWELE Taifa Stars Tamasha la matumaini TAMASHA LA SERENGETI FIESTA 2013 Tangazo TANZANIA TEGO TENGENEZA WEBSITE NA BLOG TID Tundaman Tupo wangapi? TUZO ZA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14 Twanga Pepeta USA PAGEANT 2014‏ VAI Wastara WEMA WEMA SEPETU Yanga Yanga Bingwa 2013 YOUNG D Yvonne Cherry ‘Monalisa’ Z Anton. Zari Zito kabwe

Translate