Kuna habari zimezagaa kila kona jijini Dar es Salaam kwamba Jacqueline Wolper
ndiye staa wa kike aliye juu kuliko wengine kwa sasa kwa vile anawaburuza wenzake
kwa kuwa na mkwanja wa kufa mtu na anamiliki nyumba na mkoko wa nguvu BMW X6!
Inasemekana baadhi ya mastaa wa kike wa Tanzania wamekuwa wakimuonea wivu sana kiasi cha kumsema vibaya bila sababu za msingi!
“We angalia mtu kama Uwoya anathubutu kusema karogwa na Jack kisa eti kuna mtu alikosea kutaja jina lake huyo Irene badala yake akataja la Jack basi tayari anasema amemroga, ni wivu tu wanamuonea mtoto wa watu,” alisema Mariam Jumbe mkazi wa Mabibo, Dar es Salaam.

BMW X6
Munira wa Mbezi, jijini Dar es Salaam naye alisema yake kama ifuatavyo:
“Wewe mpaka mtu anaamua kutangaza kwenye vyombo vya
habari kuwa anamiliki jumba la kifahari na magari wakati si kweli unadhani
mchezo? Ile yote ni kutaka kujilinganisha na Jack! Lakini ukweli utabaki
kuwa pale pale kwamba Jack Wolper anawafunika vibaya mno.”
Akiongea kupitia magazeti ya Global Publishers, Jack
alisema yote yanayomkuta kwa sasa anawmachia Mungu kwani inaonesha anaonewa na
kuchafuliwa kwa makusudi ili jamii imuone si binti mwenye maadili.
No comments:
Post a Comment