Jamii imegeuka, sasa inataka kumwona huyo anayesemekana ni
mchumba mpya wa mwigizaji Jackline Wolper ambaye anatambulika kwa jina la
Dallas.
Wakasema mbali na kuyafanya maisha ya Wolper kubadilika
lakini pia wanataka kumwona mwanaume huyo kwa sababu amefanikiwa kumwingiza msikitini
staa huyo na kubadili dini kuwa muislam.
Gari la Wolper BMW X6 lenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 170.
Kwa sasa Wolper anamiliki magari matatu likiwemo moja la
thamani ya shilingi milioni mia moja na sabini za Tanzania.
NDUGU ZANGU KATIKA UPENDO WA MUNGU,TUNA ALIKWA MARA NYINGI SANA NA MUNGU KUTUBU DHAMBI ZETU NA KUISHI MAISHA YA TOBA NA KUMGEUKIA MUNGU KATIKA KUYADHAMINI MAMBO YA MUNGU YA ROHONI KUYAPA ASILIMIA KUBWA ZAIDI KATIKA MAISHA YETU TUNAYO ISHI.
ReplyDeleteNIYAPI YAKUFANYA NAKUZIDI KUKAZANA NAYO KATIKA MAISHA YETU NI:
1. KUTUBU NA KUMRUDIA MUNGU KWA MATENDO MEMA , KUOMBA MSAADA WA ROHO MTAKATIFU,KATIKA KUSALI,KUOMBA NA KUWA NA BIBLIA KUSOMA NENO LA MUNGU NA KUPENDA SANA KUKAA KATIKA USHIRIKA WA WAKRISTO KANISANI KUSHIRIKI SEMINA NA MIKUTANO YA NENO LA MUNGU INAYOTANGAZWA NA KANISA,NA UMWOMBE MUNGU ROHO WAKE AKUONGOZE UEPUKA NA MAKANISA YASIYO YA KWELI YENYE MANABII WA UONGO.
2. KUWANA UPENDO(kushika amri za Mungu kuyatunza na kuwaza Neno la Mungu Moyoni na matendo ya Huruma) WA KRISTO KWA WATU WENGINE, NAKUSAIDIA WATOTO YATIMA NA WAGONJWA WALEMAVU NK,NA KUPENDA AMANI NA WATU WOTE, NA HASA KUSAMEHEHANA NA KUSAIDIANA KATIKA SHIDA ZA MAISHA NA KIROHO PIA TUKUZIDI KUFANYA KAZI/MASOMO KWA BIDII TUKIMTANGULIZA MUNGU.
3. KUPENDA SANA MOYONI KUMSIFU MUNGU NA KUMWABUDU NA KUSIKILIZA NYIMBO ZA SIFA NA KUMWABUDU MUNGU,NA MAHUBIRI
4. KUZIDI NA KUCHUCHUMILIA MAISHA YA WONGOFU/WOKOVU KUWA NA TUMAINI LA UTUKUFU NA UZIMA WA MILELE NA KUPENDA KUOMBA.
NK: USHIRIKA WA PAMOJA KATIKA KRISTO WA KUSALI/KUOMBA NA KUMSHUKURU MUNGU/KUMSIFU NA KUMWABUDU MUNGU NA NENO LA MUNGU,KUWA NA HAJA/KIU NA MOYO WA KUTAKA KUMWONA YESU KRISTO KATIKA KUMTAFUTA NIMUHIMU SANA KATIKA MAISHA YETU HAPA DUNIANI KAMA WASAFIRI KWENDA KWA BABA YETU MBINGUNI.
Matendo 25 -
31 Kwa hiyo kesheni, mkikumbuka ya kwamba miaka mitatu, usiku na mchana, sikuacha kumwonya kila mtu kwa machozi.
32 Basi, sasa nawaweka katika mikono ya Mungu, na kwa neno la neema yake, ambalo laweza kuwajenga na kuwapa urithi pamoja nao wote waliotakaswa.
20 bali kwanza niliwahubiri wale wa Dameski na Yerusalemu, na katika nchi yote ya Uyahudi, na watu wa Mataifa, kwamba watubu na kumwelekea Mungu, wakiyatenda matendo yanayopatana na kutubu kwao.
Warumi1:
5 ambaye katika yeye tulipokea neema na utume ili mataifa yote wapate kujitiisha kwa imani, kwa ajili ya jina lake;
6 ambao katika hao ninyi mmekuwa wateule wa Yesu Kristo;
7 kwa wote walioko Rumi, wapendwao na Mungu, walioitwa kuwa watakatifu. Neema na iwe kwenu na amani itokayo kwa Mungu Baba yetu, na kwa Bwana Yesu Kristo. Mwenye haki ataishi kwa imani.
Na kama walivyokataa kuwa na Mungu katika fahamu zao, Mungu aliwaacha wafuate akili zao zisizofaa, wayafanye yasiyowapasa.
32 ambao wakijua sana hukumu ya haki ya Mungu, ya kwamba wayatendao hayo wamestahili mauti, wanatenda hayo, wala si hivyo tu, bali wanakubaliana nao wayatendao.
Rum2
4 Au waudharau wingi wa wema wake na ustahimili wake na uvumilivu wake, usijue ya kuwa wema wa Mungu wakuvuta upate kutubu?
5 Bali kwa kadiri ya ugumu wako, na kwa moyo wako usio na toba, wajiwekea akiba ya hasira kwa siku ile ya hasira na ufunuo wa hukumu ya haki ya Mungu,
6 atakayemlipa kila mtu kwa kadiri ya matendo yake;
7 wale ambao kwa saburi katika kutenda mema wanatafuta utukufu na heshima na kutokuharibika, watapewa uzima wa milele;8 na wale wenye fitina, wasioitii kweli, bali wakubalio dhuluma, watapata hasira na ghadhabu;9 dhiki na shida juu ya kila nafsi ya mwanadamu atendaye uovu, Myahudi kwanza na Myunani pia;10 bali utukufu na heshima na amani kwa kila mtu atendaye mema, Myahudi kwanza na Myunani pia;
11 kwa maana hakuna upendeleo kwa Mungu.
UJUMBE WA MUNGU KWA WALE WATAKAO MWAMINI YESU KRISTO NA KUISHI MAISHA YA TOBA YAO NA KUAMUA KUISHI MAISHA MAPYA YA WOKOVU WATASAMEHEWA NA KUWAFANYWA WANA WA MUNGU, NA ROHO MTAKATIFU ATAWASHUHUDIA KWA UWAMINIFU WAO KWA MUNGU, ATAOKOLEWA NA KUBARIKIWA SANA/ NA WALEWASIO AMINI HUKUMU YA MUNGU NA MAUTI ITAMNGOJA
MUNGU AKUJALIA NGUVU YA KUCHAGUA KUMWELEKEA YESU KRISTO NA KUMWACHA SHETANI NA MAMBO YAKE YA STAREHE NA KILA ANASA NA MIZIKI YA KIDUNIA YENYE UOVU WA ROHO CHAFU ZA SHETANI.