Wafanyakazi wa kampuni ya ndege ya ATC wakitoa huduma kwa abiria wakati wa safari ya ndege hiyo kutoka Dar es salaam kwenda Moroni visiwa vya Comoro. |
Wadau kutoka kampuni ya Push Mobale tuliambatana nao na ilikuwa burudani kweli. |
Mmoja wa wafanyakazi wa ndege ya shirika la ndege la ATC akitoa maelekezo ya vifaa vya usalama kwa abiria wa ndege hiyo |
Moja ya eneo la mji wa Moroni visiwa vya Comoro linavyoonekana angani. |
Abiria wakishuka kwenye ndege mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Prince Said Ibrahim Ahaya njini Moroni. |
Hili ndilo jengo la kisasa la kupokea abiria na kusafirisha ililopo katika uwanja wa ndege wa Prince Said Ibrahim Ahaya mjini Moroni Comoro |
Ndege ya Shirika la ndege la ATC ikiwa katika uwanja wa ndege wa Prince Said Ibrahim mjini Moroni. |
Abiria wakielekea katika eneo la kutokea kwenye uwanja huo |
Wadau kutoka kampuni ya ndege ya ATC wakijadili jambo katika uwanja wa ndege wa Prince Said Ibrahim Ahaya mjini Moroni. |
Ah!, Bi Kidude tulikuwa naye jamani katika safari yetu kama mnavyoona akipozi kwa picha na wafanyakazi wa unwaja wa ndege wa Moroni |
Kaimu Mkurugenzi wa Biashara kampuni ya ndege ya ATC wanamvua Nguchuakimsindikiza Bi Kidude mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Prince Said Ibrahim siku ya jana mjini Moroni |
No comments:
Post a Comment