Club za Soka za Mancherster United na Arsenal zote za Uingereza zimekubaliana kwa ada ya Pound Milion 24
kufanya uhamisho wa Mchezaji Robin Van Persie aliekua anakipiga Arsenal
kwenda kwa mashetani wekundu hao..Tayari mpaka sasa mengi yameongelewa
hususan kwa mashabiki wa pande zote mbili ambapo wale wa Arsenal
wakionekana kumponda RVP, wakati wale wa Man U wakimkaribisha kwa
shangwe na nderemo tele.

Sasa Hivi ni RVP wa Manchester United (kulia) akiwa na Kocha wake Mpya Sir Alex Furgason wakati wa utambulisho rasmi

Robin VanPersie akiwa na mpenzi wake ambae tayari amezaa nae watoto wa wawili..
Kikubwatu niseme Tutammiss sana RVP kwa wale Asernaly wenzangu na labda
ndio sababu ya vijembe hivi vya apa na pale.Tumtakie kila lenye kheri
sababu kwanamna moja ama nyingine bendera ya Arsenal itakua inapepea
kiaina OldTraford..
No comments:
Post a Comment