Mkurugenzi Mtendaji wa Kidoti, Jokate Mwegelo, akiizindua rasmi lebo ya Kidoti mbele ya waandishi wa habari.
MWANAMITINDO mahiri Bongo, Jokate Mwegelo ‘Jokate’, leo amezindua rasmi lebo yake ya mitindo ijulikanayo kama Kidoti.
Uzinduzi huo ulifanyika Ukumbi wa Serena jijini, Dar ambapo kwa kuanzia, Jokate alionesha aina mbalimbali za nywele ambazo amezipa majina tofauti kulingana na alivyozibuni.
Uzinduzi huo ulifanyika Ukumbi wa Serena jijini, Dar ambapo kwa kuanzia, Jokate alionesha aina mbalimbali za nywele ambazo amezipa majina tofauti kulingana na alivyozibuni.
(PICHA/HABARI: ERICK EVARIST NA HAMIDA HASSAN / GPL)
No comments:
Post a Comment