Kaka Bonda akiwa na mmoja wa washiriki wa shindano la Mama Shujaa wa Chakula
Julieth Kulangwa
Majina 36 ya washiriki walioingia katika hatua nyingine ya shindano la Maisha Plus 2012 yamewekwa hadharani wakati shindano la Mama Shujaa wa Chakula nalo likielekea ukingoni.Shindano la Mama Shujaa wa Chakula linalofikia tamati Oktoba 16 ambayo ni Siku y Chakula Duniani washiriki wake walikuwa wakiishi ndani ya kijiji cha Maisha Plus kwa wiki mbili mfululizo.Lakini wakati washiriki wa shindano la Mama Shujaa wa Chakula wakijivinjari katika kijiji hicho, majina ya wshiriki wa Maisha Plus yalitolewa mapema wiki hii na hawa ndio wataingia kijijini.Hata hivyo sio wote wataanza maisha rasmi katika kijiji hicho, wengine safari yao inaweza kwisha siku ya jumanne kwani ni washiriki 26 tu ndio watakaoingia katika mtanange wa kuwania shilingi za Tanzania 20mil.
Kwa maana hiyo washiriki wengine kumi watatoka kesho wakati Mama Shujaa wa Chakula watakapoondoka baada ya shindano lao kwisha.
Kwa ambao hawakuyaona majina ya washiriki waliochaguliwa mwaka huu ni hawa; Kutoka Tanga ni
Zena Mwanyelo, Dodoma ni Venance Mushi, Mtwara ni Beatrice Chinyele na Nandonde Haruni. Lindi inawakilishwa na Rashid Dinduke, Arusha ni Tatu Masoud na Kilimanjaro ni Said Matawaji na Saad Mohamed.
Jiji la Mbeya linawakilishwa na Magaret Msechu na Debora Mwakabenga, Morogoro ni Dora Mhando na Maua bakari na Justin Bayo, wakati Zanzibar Hidaya Abdala Musa, Mubaraka Makam Haji, Sharrif Mwinyi Chabo,Pwani inawakilishwa Hamis Madeaga, Fatuma Khatib na Kelvin Chinyami.
Dar es Salaam inawakilishwa na Bernick Kiniro, Bahati Kisura, Swaumu Shaban, Abdulahi Kassim, Lucky Maregesi, Singida ni Jonathan Joachim, Kahama ni Rosemary Macha na Asha Mohamed,Katavi ni Gabriel.
Shindano la Mama Shujaa wa Chakula linalodhaminiwa na NMB na Oxfam litamaliza wiki ijayo na mshindi atapata zawadi ya pembejeo za kilimo
Shindano hilo ambalo huwashirikisha wakulima wadogo wanawake mwaka huu limefanyika kwa mara ya pili lakini safari hii likiwa limeboreshwa zaidi ikiwemo kuwaweka pamoja washiriki katika kijiji cha Maisha Plus.
Wiki ijayo shindano la Maisha Plus ambalo inafanyika kwa mara ya tatu litaanza rasmi.
Lwinga, Lucas Martin na Theresia Maganga, Mwanza ni Zuwena Hamad na Emanuel Samson.
Shindano la Mama Shujaa wa Chakula

No comments:
Post a Comment