Mtoto huyu wa miaka 6 aliwahi kuingia Old Trafford na Bango lake na baada ya mechi kuisha alibaki uwanjani peke yake hadi akaja kutolewa na security.
Siku iliyofuata alienda uwanja wa mazoezi na Bango lake hadi kwa Sir Alex na kumwambia"Rooney will help us please Buy him" - (Rooney atatusaidia tafadhali mnunue)Kweli baada ya muda fulani Sir Alex Ferguson alivunja benki na kumsaini Wayne Rooney - na yule kijana akawepo siku Wayne anatambulishwa pale Old Trafford.Credits: Story na picha kwa niaba ya page ya Manchester United Supporters in Tanzania on Facebook
No comments:
Post a Comment