MWANAMUZIKI WA MUZIKI WA DANSI PATCHO MWAMBA TAJIRI amsema kwa sasa kuna watu wanavamia tasnia ya uigizaji kwa nia ya kujipatia umaarufu ambao wao wanauita usuper star aidha kwa kuweza kutaka kuonyesh kwa watu walioachana nao kuwa anaeweza kua star mfano boyfrnd na gal wake wakiachana mara nyingi wasichana wanaona kimbilio lao ni bongo movies na mwisho wa siku wanajikuta wanaangukia kwenye skendo zisizo na msingi kutokana na kulazimisha fani na wanawake qwengine wanaingia kqwenye filamu ili kuweza kupata wanaume wenye pesa wa kuwahonga magari vijumba na sio kwamba wanaingia kwa ni moja ya kufanya kazi ya movies
PATCHO amesema kwa sasa amejikita zaidi kwenye filamu na vile vile yuko mbioni kutoa filamu ya mwisho ambayo alifanya na steve kanumba na waisubiri kwa hamu sana lakini pia ana kazi nyingi sana ambazo zipo sokoni lakini hakuna hata filamu moja ambayo ameifanya ivo ila yuko mbioni kuandaa filamu zake lakini kwa sasa anaangalia kumalizia kazi ambazo ameingia nazo mikataba hivyo baada ya hapo atatnengeza album yake ya muziki na baada ya hapo atafanya kazi zake mwenyewe.
Tino, Irene, Dotnata, Patcho Mwamba.
Kwa sasa patcho mwamba yuko kwenye filamu ya muigizaji wa siku nyingi wa kaole aitwae KEN ambayo ipo kwenye final touch ingawa anasema kuna movies nyingi zinalipuliwa kwa sasa kutokana na bajeti zinazowekwa kwa ajili ya kufanya movies hizo.
Habari na Gmbongothaintertainer.
No comments:
Post a Comment