EFM RADIO

EFM RADIO

HERICONY

Tangaza hapa

Tangaza hapa

TANGAZA NA BLOG YAKO HAPA

TANGAZA NA BLOG YAKO HAPA

Wednesday, October 17, 2012

WAZEE WATOA TAMKO, JUU YA NEMBO YA VODACOM.

 
Katibu wa Baraza la Wazee klabu ya Yanga, Mzee Ibrahim Akilimali (katikati) akiongea na wanahabari (hawapo pichani).
Katibu wa Baraza la wazee wa klabu ya Young Africans Sports Club, Mzee Ibrahim Akilimali ametoa ufafanuzi juu ya timu ya Yanga kutovaa jezi zenye nembo nyekundu ya mdhamini wa ligi kuu Tanzaniza bara kampuni ya simu ya Vodacom.
Baadhi ya wachezaji wa Yanga wakiwa na jezi zisizo na nembo ya mdhamini wakati wa mechi yao dhidi ya Simba, Oktoba 3, mwaka huu.
Akiongea na wandishi wa habari makao makuu ya klabu makutano ya mitaa ya Twiga/Jangwani, Mzee Akilimali amesema kamwe hawatakubali matakwa ya vodacom na TFF ya kuweka nembo yenye doa jekundu katika jezi za Yanga. Ni afadhali hao TFF watufute katika ligi yao kama wataendelea kutulazimisha kuvaa jezi zenye nembo nyekundu, kwani tupo radhi kubaki kucheza michezo isiyodhaminiwa na Vodacom kama bao, ngumi, na mingineyo au hata kuhamia ligi ya visiwani Zanzibar ambako tutacheza bila vikwazo.
Labda kwa wasiofahamhu historia, Yanga mwaka 1953 mbele ya aliyekua Gavana wa Tanganyika, Sir Edward Twinning ilikataa kuvaa jezi zenye madoa ya rangi nyekundu ilizoletewa na timu pinzani ya mabaharia kutoka Uingereza, na kusema ni bora tucheze vifua wazi kuliko kuvaa jezi hizo alisema 'Mzee Akilimali'.
Mzee Akilimali aliongeza pia kuwa hata chama cha TANU kiliwahi kuiomba Yanga ibadilishe rangi zake za kijani na njano, lakini Rais wa kwanza wa Tanzania, Baba wa Taifa Julius Nyerere aliwambia wajumbe wa TANU kwamba waacheni Yanga na rangi zao, rangi hizo wanazotumia zinawatambulisha wao, madini, na maliasili ya nchi hii.
Aidha pia Mzee Akilimali alisema mnamo mwaka 1963, aliyekuwa mkuu wa mkoa Dar es salaam mh Mustapha Songambele aliziita timu zote zilizokuwa na majina ya kigeni kwamba zibadilsihe majina hayo na kujiita majina ya kitanzania, timu zote zilibadilisha majina lakini Young Africans ilipotafsiriwa ilileta maana ya Vijana wa Afrika hali iliypolekea Yanga kuendelea kutumia jina lake, na timu zingine kubadilisha majina yao.
Kaimu katibu mkuu wa Yanga, Lawrence Mwalusako amesema wanashindwa kuelewa kwa nini vodacom mwaka huu wanalazimisha Yanga ivae jezi zenye rangi jekundu, ili hali mwaka jana walikubali kutoa jezi zenye rangi nyeusi ya doa la vodacom.
Mkataba kati ya TFF na Vodacom sisi hatujauona, sasa inakuwa vigumu kujua kipi kimeandikwa ndani ya huo mkataba na kinapaswa kutekelezwa, ilipaswa vilabu tuepewe nakala ya mkataba tuusome kabla ya kusainiwa, ili na sisi tupate nafasi ya kutoa hoja katika mkataba huo, lakini wao wamefanya kinyume kisha wanatulazimisha tuvae hiyo nembo, ikiwa hatujui maslahi ya mkataba wenyewe alisema 'Mwalusako'.
Yanga itashuka dimbani siku ya jumamosi kucheza na timu ya Ruvu Shooting katika muendelezo wa michezo ya Ligi ya Kuu ya Vodaco nchini raundi ya 8.
Naye Mzee Mwika aliongezea kwa kutoa mfano kwamba "haiwezekani Mnyamwezi aje zake Pwani toka Tabora atukataze wazaramo kucheza mdundiko au dogoli", alichokikuta anapaswa kukifuata na kukiheshimu na sio kuja na kutaka kubadillisha tamaduni za watu, Yanga ina rangi kuu tatu (3) Kijani, Njano na Nyeusi.
HABARI NA : www. youngafricans.co.tz

No comments:

Post a Comment

HABARI MBALIMBALI

‘Dk. Cheni’ ‘Sharo Milionea ‘Thea’ African Women AGNESS MASOGANGE AK CLASSIC COSMETICS ALI KIBA Amanda Poshy Ant ANT LULU Ashley Toto Aunt Ezekiel Aunty Ezekiel AUNTY LULU Azam Fc Baby Madaha BAHATI BUKUKU Barnaba BATULI BBA Beauty of the day Belle 9 BI KIDUDE BIBI BOMBA Big Brother Big Brother Africa Bill Gates BINTI KIZIWI BOB JUNIOR Bodi ya Filamu Bongo Movie Bongo Movies CCM CHADEMA Chombezo Christina Shusho Chuchu hans. Clouds Media Group Club Bilicanas DAR LIVE DAVINA Dayna Nyange Diamond Dida Diva Loveness Love Dj Ommy Crazy wa Maisha Club DOGO JANJA DOKI DR.CHENI DSTV Dude Dully Sykes EBSS 2013 Elizabeth Michael Epiq Bongo Star Search (EBSS) ESHA BUHETI Ester Bulaya Feza Kessy FIESTA 2014 Flaviana Matata FLORA MBASHA FLORA MVUNGI Francis Cheka GARDNER GLOAL PUBLISHERS GLOBAL TV ONLINE H. BABA Halima Mdee HAMISA Happy birthday Hemedi Hemedy Suleiman HOTUBA YA RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE Hoyce Temu Huddah Monroe HUSINA IRENE PAUL Irene Uyoya ISABELLA J film 4 life Jack Chuz JACK PATRICK Jacob Steven ‘JB’ Jacqueline Dustan JACQUELINE WOLPER Jaji Khamis 'Kashi' Jay Dee JENNIFER KYAKA (ODAMA) JIDE JINI KABULA JK JO Johari Jokate Mwigelo ‘Kidot’. JOTI Joyce Kiria Joyce Kiwia JUX K-LYNN KADINDA kaja Kajala Masanja Kapotive Star Singers KATUNI Kemmy Kero Zetu KHADIJA OMAR KOPA KIKWETUKWETU KILI MUSIC AWARDS KOLETA Lady Jay Dee Lady Jaydee Lake Oil LAVEDA Linah Sanga Linex Lisa Jensen Loveness Diva Lucy Francis Komba Lulu M2 The P MABILIONEA Madam Rita MADELA Magazeti Mahusiano Maimartha Jesse MAINDA MAISHA Makala Malkia Elizabeth MAMTEI MANDELA MARIAM ISMAIL Masanja Mkandamizaji Mashindano ya Miss Tanzania Matangazo Matonya MaxMalipo MAYA MELLIS EDWARD MENINAH MGOSI MKOLONI Mh Halima Mdee mic Michezo MILLEN HAPPINESS MAGESE MISS CHANG'OMBE MISS DAR CITY CENTER Miss East Africa MISS REDD'S IRINGA 2013 MISS TANGA 2013. MISS TANZANIA 2014 Miss Tanzania mwaka 2011 MISS TEMEKE 2014 MISS USTAWI MISS UTALII TANZANIA 2012/13 Miss vyuo vikuu 2013 MKALA MREMBO HUDDAH Mrisho Mpoto Mrisho Ngassa MSHINDI WA REDD'S MISS LAKE ZONE 2013 NI LUCY CHARLES. MSHINDI WA TAJI LA REDDS MISS KANDA YA KATI 2013 Mtitu muziki Mwana FA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14 Mzee Majuto Nancy Sumari Nani Mtani Jembe? NAPE Nassoro ‘Nora’ Natasha Nay wa Mitego Necta Nelly Kamwelu NEY WA MITEGO Nisha NSSF;Zantel Nyamwela NYimbo Nyota yako OBAMA TANZANIA OMMY DIMPOZ P FUNK PAM D Peniel Mgilwa ‘Penny’ PETIT MAN Profesa Jay Q - CHILA Q Boy Q Chilla QUEEN DARLEEN RACHEL NDAUKA RAIS KIKWETE Rais Kikwete. Rasimu Ya Katiba TZ Ray Ray C Redd’s Miss IFM REDD'S MISS KAGERA 2013 REDD'S MISS TZ REDDS MISS TANZANIA 2014 Redds Miss wa Mikoa REHEMA FABIAN RICHIE RICHIE Rihanna ROSE MUHANDO Rose Ndauka Ruge Mutahaba. SABASABA 2013 Saida Karoli Saikolojia Sajeti SAJUKI Sandra SHAA Shamsa Ford Sheikh Ponda Shilole Sintah Siwema Skin Tricks Snura Mushi Spika Makinda staa Staa Wetu Stella Mwangi STYLE ZA NYWELE Taifa Stars Tamasha la matumaini TAMASHA LA SERENGETI FIESTA 2013 Tangazo TANZANIA TEGO TENGENEZA WEBSITE NA BLOG TID Tundaman Tupo wangapi? TUZO ZA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14 Twanga Pepeta USA PAGEANT 2014‏ VAI Wastara WEMA WEMA SEPETU Yanga Yanga Bingwa 2013 YOUNG D Yvonne Cherry ‘Monalisa’ Z Anton. Zari Zito kabwe

Translate