Hivi ndivyo mwili wa sharo millionea ulivokuwa baada ya kupata ajali.Hayupo
hayupo hayupooo hayupooo,, ukienda Bongo Move hayupo hayupo ukienda kwa
majuto hayupo ukienda kwa muzik hayupo hayupo Pumzika Kwa Aman broo.
TUNAOMBA RADHI KWA PICHA.
- Halima Ng'ombo Simanzi kuu'' kweli umeenda? Kweli sharo kweli?! Nataman iwe ndoto niamke...!KWANINI KWANINI..2012 mwaka wa simanzi tupu.. Mbele yako nyuma ye2. Pumzika kwa amani..
- Seif Bakari yani cjui kwa nn mungu ananiumiza namna hiii...majembe nnayoyakubali ndo yanadanji af wale masneech ndo wanabaki,hakukua na m2 poa mtaani kama abel loshilaa motika(MR.EBO) alkua maskin mwenzetu na hakua anaringa kwa umaarufu wake,huku tena alikuepo ste...See More
No comments:
Post a Comment