MBUNGE
wa zamani wa Jimbo la Njombe Kaskazini na Waziri wa zamani wa Elimu na
wizara nyingine mbalimbali katika serikali ya Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Jackson Makweta, amefariki dunia leo baada ya kuugua.
Taarifa
zilizothibitishwa leo zimedai kuwa Makweta amefariki baada ya kuugua na
kulazwa katika Hospitali ya Jeshi la Wananchi Lugalo ambako ndiko
alikokuwa amelazwa.
Makweta alikuwa ni miongoni mwa watu wachache waliokuwa wakishikilia rekodi ya kudumu na cheo cha ubunge kwa muda mrefu nchini kwani aliingia madarakani mwaka 1975 na kung'olewa mwaka 2010'
Makweta alikuwa ni miongoni mwa watu wachache waliokuwa wakishikilia rekodi ya kudumu na cheo cha ubunge kwa muda mrefu nchini kwani aliingia madarakani mwaka 1975 na kung'olewa mwaka 2010'
No comments:
Post a Comment