Maneno yake Sintah >> Kiroho safii kabisa tuambiane
ukwelli, nimekuwa nikifuatilia live concert kuna moja ilikuwa
imeandaliwa Maisha na nyingine Diamond,
Bob Junior
wasanii wengi hapa Dar siku hizi
wamejikita kukata mauno kwa stage na si kuimba jamani jamani utamkuta
mtu anakata yake mauno huku nyimbo ikiendelea kuimba na hana habariii.
heee umekuwa Aisha madinda ama Lilian Internet kama sikosei super Nyamwela please please muwe mnafuata nyimbo basi.
tunajua mnatudanganya sana kwa
kutuwekea CD sio live basi endeleeni kufuata mashairi na si kukatika ama
katika pale panapostahili na si mwanzo mwisho sasa umewaweka dancers
wanini yarabiii.Mtakuja kupata aibu pale mtapokuwa mnaenda ku perform nchi nyingine na watu wa mataifa tofauti please anzeni kulifanyia kazi.hao ni baadhi ya wasanii niliowaona wana hio kasoro kuna wengi ila hao kwa macho yangu nimeona kama kuna wengine wataje.
from one n only
msema ukweli daima na haongopi
Via www.sintah.com
No comments:
Post a Comment