MSANII wa kundi la TMK Wanaume Halisi Baraka Seleka maarufu kama BK amefariki dunia katika hospital ya Muhimbili.
Msanii
mwingine wa kundi hilo Rich-One amesema kuwa BK (katikati
pichani) amefariki jana saa 11 alfajiri kutokana na kuugua maradhi ya
tumbo.
No comments:
Post a Comment