Twanga
Pepeta watawatumbuiza wapendanao katika ukumbi wa Mzalendo Pub uliopo
Millennium Tower Kijitonyama na Akudo watakuwa ndani ya ukumbi wa Kijiji
cha Makumbusho Kijitonyama. Kumbi hizo mbili zinatenganishwa na
barabara nyembamba ya vumbi.
Akudo
wanatarajiwa kulitumia onyesho lao kwaajili ya kunadi nyimbo zao mpya
kabisa ambapo Twanga Pepeta wao kama mambo yataenda jinsi yalivyopangwa
basi watazindua video ya wimbo wao wa ‘Shamba la Twanga”
No comments:
Post a Comment