Tunafurahi kwamba tumepata mshindi wetu wa kwanza wa DStv Rewards, bwana Peter Amandus, ambaye ni mshindi wa Tshs 5,000,000.
Mpango huu umekuja miezi michache tu baada ya DStv kuzindua kampeni ya punguzo ya malipo ya mwezi kwa asilimia kumi (10%) kwa vifurushi vyake vyote. Hii ni kama moja ya zawadi zake kwa wateja endepo mteja atalipia malipo ya mwezi kabla akaunti yake haijakatika.
No comments:
Post a Comment