Bi-harusi mtarajiwa, Asteria Aaron (kulia) akiwa na mpambe wake, Edna Titus.
Eric
Shigongo, Mkurugenzi wa Global Publishers (mwenye suti, kulia)
akiwaongoza wageni katika sherehe hiyo kucheza midundo ya 'Kwaito' ya
Afrika Kusini.
Baadhi ya viongozi wa Global Publishers wakiwa katika picha ya pamoja.
Meneja Mkuu wa Global, Abdallah Mrisho, akitoa zawadi ya kamati kwa bi harusi mtarajiwa.
Mbunge wa Viti Maalumu wa CCM, Catherine Magige, akitoa nasaha kwa bi- harusi mtarajiwa.
Mkurugenzi wa Johannesburg Hotel iliyoko Sinza-Mori, jijini Dar es
Salaam, Masha Bukumbi, akiingia na baadhi ya wanafamilia wa upande wa
bi-harusi mtarajiwa.
Wafanyakazi wa Johannesburg Hotel wakiingia kutoa zawadi yao.
Baadhi ya wafanyakazi wa Global wakiserebuka katika hafla hiyo ya kufurahisha.
Mhariri wa Gazeti la Risasi, Mohamed Kuyunga, akiimba huku akipongezwa na mkewe.
Wageni waalikwa wakijimwaya.
Abdallah Mrisho (kulia) na Ofisa Masoko wa Global, Sudi Kivea, wakiwa na keki ya zawadi kwa wafanyakazi wa Global.
Mhariri Kiongozi wa Magazeti Pendwa, Oscar Ndauka, Abdallah Mrisho na
mtaalam wa Teknolojia ya Mawasiliano (IT), Maulidi Kilinda (kushoto)
wakibadilishana mawazo.
Baadhi ya wafanyakazi wa Global wakiwa wamepozi mbele ya kamera.
Mh. Magige akiwa na Shigongo.
UKUMBI wa Waterfront jijini Dar es Salaam jana usiku ‘uliwaka moto
usiozimika’ wakati pakifanyika sherehe ya kumuaga (send-off) Asteria
Aaron, mfanyakazi wa Global Publishers ambaye anatarajiwa ‘kupata wa
maisha’ hivi karibuni.
(PICHA ZOTE NA ISSA MNALLY)
No comments:
Post a Comment