Happy Birthday, Paula
Leo ni siku ya kuzaliwa ya mtoto wa
kwanza wa producer Paul Matthysse aka P-Funk Majani aliyezaa na
aliyekuwa mchumba wake Kajala Masanja.
Wazazi hao wamemtembelea mtoto wao shuleni na kupiga naye picha.
Kupitia Instagram, Kajala ameshare picha kadhaa zinamuonesha akiwa na Majani, binti yao Paula na Wema Sepetu.
Kajala amemwandikia ujumbe mtamu binti yake akisema:
HAPPY BIRTHDAY my
darling, my heartbeat, da reasonto whythez always a smile abt…ur my
right hand, my sweetheart, my number one, my beautiful daughter…..mummy
loves u sooo much sweet angel….and I pray to god to keep u for a long
long tym… u will live to blow a hundred candles my precious…
No comments:
Post a Comment