TAMBUA THAMANI YAKO
Ili uweze kuwa bora ni lazima uanzie kwako,
ujitambue kama mwanamke na thamani yako
kwa mwanaume wako. Ukiijua thamani yako,
lazima utakuwa makini na kila kitu. Rafiki
yangu, ninaposema thamani ninamaanisha
kwanza kujiamini na kujipa nafasi ya kwanza.

Uamini kwamba wewe ni mwanamke mrembo
na unayevutia. Imani hiyo ikishaingia, tayari
utakuwa unajali mambo mengi ya msingi,
ikiwemo usafi wako binafsi. Waswahili
wanasema, mwanamke ni pambo la nyumba.
Pambo haina maana ya ua, inamaanisha ule
usafi wa kila kitu.

Kwamba nyumba bila mwanamke haiwezi
kukamilika, wewe kama mwanamke unatakiwa
kufahamu wewe ni kila kitu ndani ya nyumba.
Umakini wako na kujitambua ndiyo vitu
vitakavyokuweka katika nafasi nzuri ya kudumu
katika uhusiano wako na baadaye kuingia
kwenye ndoa.

TAMBUA THAMANI YAKE
Ukiijua thamani ya mwanaume kutoka ndani ya
moyo wako ni wazi kwamba hata vipengele
vifuatavyo hapa chini havitakuwa vigumu kwako
kutekelezeka. Inakupasa ujue thamani ya
mwanaume wako ipasavyo.
Ukiijua thamani ya mwanaume kutoka ndani ya
moyo wako ni wazi kwamba hata vipengele
vifuatavyo hapa chini havitakuwa vigumu kwako
kutekelezeka. Inakupasa ujue thamani ya
mwanaume wako ipasavyo.
Hilo si tu kwa maneno, bali ni jambo ambalo
linatakiwa kufanyika kwa ridhaa ya moyo wako.
linatakiwa kufanyika kwa ridhaa ya moyo wako.
Ni rahisi zaidi jambo hili kufanyika ikiwa
utakuwa na mapenzi ya dhati. Mpende kwa
moyo wako wote na ujue kuwa maisha yako
yanakamilishwa na uwepo wake.
utakuwa na mapenzi ya dhati. Mpende kwa
moyo wako wote na ujue kuwa maisha yako
yanakamilishwa na uwepo wake.
Ndiyo! Yanakamilishwa na uwepo wake, maana
una mategemeo ya kuingia katika ndoa naye.
Hapo mtakuwa mwili mmoja na maisha ya kila
mmoja yatamtegemea mwenzake.
una mategemeo ya kuingia katika ndoa naye.
Hapo mtakuwa mwili mmoja na maisha ya kila
mmoja yatamtegemea mwenzake.
MHESHIMU
Mwanaume anapenda sana kuheshimiwa na
mpenzi wake. Mwanaume akigundua
haheshimiwi au unafanya hivyo kwa
kumridhisha tu na si kutoka moyoni, ni rahisi
kukuacha.
Mwanaume anapenda sana kuheshimiwa na
mpenzi wake. Mwanaume akigundua
haheshimiwi au unafanya hivyo kwa
kumridhisha tu na si kutoka moyoni, ni rahisi
kukuacha.
Kama kichwa cha familia, lazima apewe nafasi
ya kutoa uamuzi tangu mapema. Ikiwa utakuwa
na majibu mabaya kwake, humheshimu ni wazi
kwamba atakuacha mapema, maana utakuwa
umepoteza sifa za kuwa mama wa familia.
ya kutoa uamuzi tangu mapema. Ikiwa utakuwa
na majibu mabaya kwake, humheshimu ni wazi
kwamba atakuacha mapema, maana utakuwa
umepoteza sifa za kuwa mama wa familia.
No comments:
Post a Comment