Naibu Spika wa Bunge Job
Ndugai akimwamuru Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe kukaa
chini, Bungeni Mjini Dodoma Septemba 5, 2013.
Wabunge wa Chadema
wakiwa wamesimama kukaidi amri ya Naibu spika, Job Ndugai ya kuwataka
wakae chini, Bungeni Septemba 5, 2013.
Askari wa bunge wakitaka kumtoa nje Mhe. Freeman Mbowe.
Kiongozi wa Upinzani
Bungeni, Freeman Mbowe akiongoza wabunge wa CHADEMA kutoka Bungeni mjini
Dododma baada ya kuamriwa kufanya hivyo na Naibu Spika wa Bunge, Job
Ndugai Septemba 5, 2013.
(Picha na Ofisi ya waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment