Snura Mushi na Dvj Hunter wa Club Maisha Ya Mjini Mbea wakiwa katika Poz la maha..!
Kwa mujibu wa mtu
wa karibu aliozinasa picha hizo zilizopigwa huko mkoni Mbeya
alisisitiza kwamba jina lake lisitajwe humu mtandaoni, Pia
alizidikufunguka kwamba kabla hajakwanyua picha hizo alibahatika kusikia
maneno ya Snura kama ifuatavyo: Mimi kwa huyu jamaa sina ujanja na
kamwe sitosikia la mtu ng'o! Mmmh.. Penda sana Hunter...!
No comments:
Post a Comment