Kwa
ukubwa wa zawadi aliyopewa, huenda harusi ya Pastor Myamba ikawa harusi
ya staa wa Tanzania iliyofana na yenye stunts zaidi.
Muigizaji
huyo wa filamu aliukimbia mji wa Dar na kwenda kufungia harusi yake
visiwani Zanzibar ambako hakuishia kualika mastaa wenzie tu, bali pia
zawadi alizopewa, zinatosha kuanzisha kampuni yake nyingine.
Kwa
mujibu wa JB aliyehudhuria harusi hiyo, Pastor Myamba na mkewe
wamezawadiwa pamoja vitu vingine, gari jipya na pesa taslimu shilingi
milioni 250!!
No comments:
Post a Comment