Mtandao wako uupendao wa www.globalpublishers.info
kwa sasa upo hewani baada ya kutopatikana kuanzia Jumatano asubuhi
kutokana na matatizo ya kiufundi ambayo yameshughulikiwa ipasavyo na
wataalamu wetu. Ni matarajio yetu kuwa tatizo kama hili halitatokea
tena.
Tunawaomba radhi wasomaji wetu pamoja na watu tunaotangaza nao kwa usumbufu wowote uliojitokeza katika kipindi hiki. Kwa sasa tunaendelea kuwapa habari motomoto kama kawaida wasomaji wetu.
Tunawaomba radhi wasomaji wetu pamoja na watu tunaotangaza nao kwa usumbufu wowote uliojitokeza katika kipindi hiki. Kwa sasa tunaendelea kuwapa habari motomoto kama kawaida wasomaji wetu.
Asanteni kwa uvumilivu wenu.
Web Master - Global Publishers Ltd
No comments:
Post a Comment