KARIBU SANA HAPA www.akclassic.blogspot.com
Sunday, December 2, 2012
MALI ZA MAREHEMU SHARO MILIONEA ZAPATIKANA JIONEE KWA PICHA.
Baadhi ya vitu vya marehemu Sharo
milionea vilivyokamatwa baada ya msako mkali baina ya Polisi na wananchi
wa Kijiji Songa Kibaoni.
Na Mashaka Mhando,Tanga
WATU wanaosadikiwa kuiba vitu vya marehemu Hussein Mkiety maarufu kwa jina la 'Sharo Milionea' aliyefariki kwa ajali ya gari katika kijiji cha Songa Kibaoni wilayani Muheza Novemba 26 mwaka huu, wamesalimisha baadhi ya vitu hivyo kwa mwenyekiti wa Kijiji hicho huku wakiendelea kuishi mafichoni kuogopa kutiwa mbaroni.
Na Mashaka Mhando,Tanga
WATU wanaosadikiwa kuiba vitu vya marehemu Hussein Mkiety maarufu kwa jina la 'Sharo Milionea' aliyefariki kwa ajali ya gari katika kijiji cha Songa Kibaoni wilayani Muheza Novemba 26 mwaka huu, wamesalimisha baadhi ya vitu hivyo kwa mwenyekiti wa Kijiji hicho huku wakiendelea kuishi mafichoni kuogopa kutiwa mbaroni.
RAIS JAKAYA KIKWETE AONGOZA MAADHIMISHO YA SIKU YA UKIMWI DUNIANI YALIYOFANYIKA KITAIFA MKOANI LINDI SIKU YA JANA.
MAADHIMISHO YA SIKU YA UKIMWI DUNIANI YAFANYIKA ZANZIBAR SIKU YA JANA.
Wananchi kutoka sehemu mbalimbali
wakiwa wamekusanyika kwa ajili ya kufanya Maandamano ya Kuadhimisha Siku
ya Ukimwi Duniani yanayofanyika kila ifikapo Tarehe 1Disemba 2012 .
huko Mangapwani Mkoa wa Kaskazini Wilaya ya Kaskazini B Zanzibar.
MAHAFALI YA 47 YA CHUO CHA ELIMU YA BIASHARA DODOMA,
Wakuu wa Chuo cha elimu ya biashara kampasi ya Dodoma wakiwa kwenye maandamano ya kuingia ukumbini
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dr. Rehama Nchimbi akiwa kwenye maandamano ya mahafari ya 47 ya chuo cha biashara kampasi ya Dodoma
Timu ya Vijana Serengeti Boys yachapwa 2-0 na wenyeji Kongo Brazaville mjini Brazaville.
![]() |
| Hussein Twaha wa Serengeti, akiwatoka wachezaji wa Kongo Brazzaville katika mchezo wa kwanza mjini Dar es Salaam. Picha kutoka Maktaba ya BIN ZUBEIRY |
NDOTO
za Watanzania kuishuhudia timu yao ya taifa ya vijana chini ya umri wa
miaka 17, Serengeti Boys inacheza Fainali za Afrika mwakani nchini
Morocco, jana zimeota mbawa baada ya kufungwa mabao 2-0 na wenyeji Kongo
Brazaville mjini Brazaville, Kongo, hivyo kutolewa kwa jumla ya mabao
2-1.
Saturday, December 1, 2012
MAADHIMISHO YA SIKU YA UKIMWI DUNIANI,MKOANI LINDI.
Hospitali Bukombe katika kashfa ya rushwa.
WAKAZI wa wilaya ya Bukombe, mkoani Geita, wameilalamikia
hospitali ya wilaya hiyo kutokana na kukithiri kwa vitendo vya rushwa na
kusababisha wagonjwa wengi kukosa huduma za matibabu.
Wakazi hao walitoa malalamiko hayo juzi kwa nyakati tofauti
walipokuwa wakiwasilisha kero zao kwa mbunge wa Bukombe, Profesa
Kulikoyela Kahigi (CHADEMA), alipofanya ziara jimboni humo ili
kusikiliza kero za wananchi.
Walidai baadhi ya watumishi hospitalini hapo wamekuwa na tabia ya
kuomba rushwa, ili waweze kuwapatia huduma za matibabu na dawa wagonjwa.
Kwa upande wao kinamama wa kijiji cha Kagwe, walisema pamoja na huduma
kwa mama mjamzito na watoto chini ya miaka mitano kuwa bure, wamekuwa
wakitozwa fedha, ili waweze kupatiwa huduma ya matibabu.
Vibaka wasalimisha mali za Sharo Milionea
VITU vilivyoporwa na watu wasiojuliana katika ajali ya msanii
mahiri wa filamu na muziki wa kizazi kipya nchini, Marehemu Hussein
Mkieti ‘Sharo Milionea’ eneo la Songa Kibaoni wilayani Muheza mkoani
Tanga, vimesalimishwa na wananchi wanaosadikiwa ni wezi.
Ajali hiyo ilitokea Jumatano iliyopita eneo hilo majira ya saa 2:30
nusu usiku, baada ya gari alilokuwa akiliendesha msanii huyo, Toyota
Harrier kuacha barabara na kuingia porini likigonga mti kisha kupinduka
na kumsababishia mauti.

Msanii huyo alikuwa akitokea jijini Dar es Salaam kuelekea kijijini
kwao Lusanga Muheza kwa ajili wa kuwasalimia wazazi wake pamoja na
kuwapelekea fedha za matumizi.
Leo ni siku ya Ukimwi Duniani cheki Afya yako Ubadili Utaratibu Maisha yako.
Cheki Afya yako Ubadili Utaratibu Maisha yako,ndo njia sahihi ya kuenzi siku hii.Sio kunyoosheana vidole uko mitaani wakati hata hujijui bado.Acha unyanyapaaji.
HAWA NDIO MAKOCHA 30 WANAOKOMBA MKWANJA MREFU KULIKO WOTE.
KWA
mujibu wa orodha iliyochapishwa na vyombo vya habari vya Brazil,
katikati ya wiki, Kocha wa Real Madrid ya Hispania, Mreno Jose Mourinho
ndiye anayeongoza kwa kutengeneza fedha nyingi, miongoni mwa makocha wa
soka duniani.
Kampuni
ya ushauri wa kibiashara ya Pluri Consultoria ya Brazil imetoa orodha
ya makocha 30 wanaotengezea fedha nyingi zaidi katika soka, ikimtaja
Mourinho kuingiza pauni milioni 12.3 kwa mwaka.
‘TUTARUDISHA KODI YA PANGO YA SHARO MILIONEA’.
CHANZO CHA HABARI HII NA SALUTI5 (www.saluti5.com)
WAMILIKI wa nyumba aliyokuwa akiishi msanii wa Komedi, Hussein Mkieti ‘Sharo Milionea’ wamesema watarudisha kiasi chote cha fedha ya kodi ya pango kilichotolewa na nyota huyo.
WAMILIKI wa nyumba aliyokuwa akiishi msanii wa Komedi, Hussein Mkieti ‘Sharo Milionea’ wamesema watarudisha kiasi chote cha fedha ya kodi ya pango kilichotolewa na nyota huyo.
Wakiongea
na Saluti5 jana, wamiliki hao wameahidi kukabidhi pesa zote za kodi ya
pango zilizokuwa zimelipwa na Sharo, siku vitakapokuwa vinatolewa
vyombo.
“Hatuwezi
kuzuia hela iliyotolewa na Sharo kama kodi ya pango kwa sababu kitendo
hicho ni sawa na dhuluma ambayo ni kosa kwa mujibu wa dini yetu ya
Kikristo,” walisema wamiliki hao.
Subscribe to:
Posts (Atom)
HABARI MBALIMBALI
‘Dk. Cheni’
‘Sharo Milionea
‘Thea’
African Women
AGNESS MASOGANGE
AK CLASSIC COSMETICS
ALI KIBA
Amanda Poshy
Ant
ANT LULU
Ashley Toto
Aunt Ezekiel
Aunty Ezekiel
AUNTY LULU
Azam Fc
Baby Madaha
BAHATI BUKUKU
Barnaba
BATULI
BBA
Beauty of the day
Belle 9
BI KIDUDE
BIBI BOMBA
Big Brother
Big Brother Africa
Bill Gates
BINTI KIZIWI
BOB JUNIOR
Bodi ya Filamu
Bongo Movie
Bongo Movies
CCM
CHADEMA
Chombezo
Christina Shusho
Chuchu hans.
Clouds Media Group
Club Bilicanas
DAR LIVE
DAVINA
Dayna Nyange
Diamond
Dida
Diva Loveness Love
Dj Ommy Crazy wa Maisha Club
DOGO JANJA
DOKI
DR.CHENI
DSTV
Dude
Dully Sykes
EBSS 2013
Elizabeth Michael
Epiq Bongo Star Search (EBSS)
ESHA BUHETI
Ester Bulaya
Feza Kessy
FIESTA 2014
Flaviana Matata
FLORA MBASHA
FLORA MVUNGI
Francis Cheka
GARDNER
GLOAL PUBLISHERS
GLOBAL TV ONLINE
H. BABA
Halima Mdee
HAMISA
Happy birthday
Hemedi
Hemedy Suleiman
HOTUBA YA RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE
Hoyce Temu
Huddah Monroe
HUSINA
IRENE PAUL
Irene Uyoya
ISABELLA
J film 4 life
Jack Chuz
JACK PATRICK
Jacob Steven ‘JB’
Jacqueline Dustan
JACQUELINE WOLPER
Jaji Khamis 'Kashi'
Jay Dee
JENNIFER KYAKA (ODAMA)
JIDE
JINI KABULA
JK
JO
Johari
Jokate Mwigelo ‘Kidot’.
JOTI
Joyce Kiria
Joyce Kiwia
JUX
K-LYNN
KADINDA
kaja
Kajala Masanja
Kapotive Star Singers
KATUNI
Kemmy
Kero Zetu
KHADIJA OMAR KOPA
KIKWETUKWETU
KILI MUSIC AWARDS
KOLETA
Lady Jay Dee
Lady Jaydee
Lake Oil
LAVEDA
Linah Sanga
Linex
Lisa Jensen
Loveness Diva
Lucy Francis Komba
Lulu
M2 The P
MABILIONEA
Madam Rita
MADELA
Magazeti
Mahusiano
Maimartha Jesse
MAINDA
MAISHA
Makala
Malkia Elizabeth
MAMTEI
MANDELA
MARIAM ISMAIL
Masanja Mkandamizaji
Mashindano ya Miss Tanzania
Matangazo
Matonya
MaxMalipo
MAYA
MELLIS EDWARD
MENINAH
MGOSI MKOLONI
Mh Halima Mdee
mic
Michezo
MILLEN HAPPINESS MAGESE
MISS CHANG'OMBE
MISS DAR CITY CENTER
Miss East Africa
MISS REDD'S IRINGA 2013
MISS TANGA 2013.
MISS TANZANIA 2014
Miss Tanzania mwaka 2011
MISS TEMEKE 2014
MISS USTAWI
MISS UTALII TANZANIA 2012/13
Miss vyuo vikuu 2013
MKALA
MREMBO HUDDAH
Mrisho Mpoto
Mrisho Ngassa
MSHINDI WA REDD'S MISS LAKE ZONE 2013 NI LUCY CHARLES.
MSHINDI WA TAJI LA REDDS MISS KANDA YA KATI 2013
Mtitu
muziki
Mwana FA
MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14
Mzee Majuto
Nancy Sumari
Nani Mtani Jembe?
NAPE
Nassoro ‘Nora’
Natasha
Nay wa Mitego
Necta
Nelly Kamwelu
NEY WA MITEGO
Nisha
NSSF;Zantel
Nyamwela
NYimbo
Nyota yako
OBAMA TANZANIA
OMMY DIMPOZ
P FUNK
PAM D
Peniel Mgilwa ‘Penny’
PETIT MAN
Profesa Jay
Q - CHILA
Q Boy
Q Chilla
QUEEN DARLEEN
RACHEL NDAUKA
RAIS KIKWETE
Rais Kikwete.
Rasimu Ya Katiba TZ
Ray
Ray C
Redd’s Miss IFM
REDD'S MISS KAGERA 2013
REDD'S MISS TZ
REDDS MISS TANZANIA 2014
Redds Miss wa Mikoa
REHEMA FABIAN
RICHIE RICHIE
Rihanna
ROSE MUHANDO
Rose Ndauka
Ruge Mutahaba.
SABASABA 2013
Saida Karoli
Saikolojia
Sajeti
SAJUKI
Sandra
SHAA
Shamsa Ford
Sheikh Ponda
Shilole
Sintah
Siwema
Skin Tricks
Snura Mushi
Spika Makinda
staa
Staa Wetu
Stella Mwangi
STYLE ZA NYWELE
Taifa Stars
Tamasha la matumaini
TAMASHA LA SERENGETI FIESTA 2013
Tangazo
TANZANIA
TEGO
TENGENEZA WEBSITE NA BLOG
TID
Tundaman
Tupo wangapi?
TUZO ZA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14
Twanga Pepeta
USA PAGEANT 2014
VAI
Wastara
WEMA
WEMA SEPETU
Yanga
Yanga Bingwa 2013
YOUNG D
Yvonne Cherry ‘Monalisa’
Z Anton.
Zari
Zito kabwe


